fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,659 Reaction score 9,220 Jul 5, 2025 #1 Huyu mjita ana vituko,kwanza ni mwalimu wa shule ya msingi,na kwa chini mama mama maa ni hatari balaaaaa,pia ni mwalimu wa kiswahili na msemaji wa jkt
Huyu mjita ana vituko,kwanza ni mwalimu wa shule ya msingi,na kwa chini mama mama maa ni hatari balaaaaa,pia ni mwalimu wa kiswahili na msemaji wa jkt
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,273 Reaction score 14,377 Jul 5, 2025 #2 fimboyaukwaju said: Huyu mjita ana vituko,kwanza ni mwalimu wa shule ya msingi,na kwa chini mama mama maa ni hatari balaaaaa,pia ni mwalimu wa kiswahili na msemaji wa jkt Click to expand... Uzi tayari.
fimboyaukwaju said: Huyu mjita ana vituko,kwanza ni mwalimu wa shule ya msingi,na kwa chini mama mama maa ni hatari balaaaaa,pia ni mwalimu wa kiswahili na msemaji wa jkt Click to expand... Uzi tayari.
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,659 Reaction score 9,220 Jul 5, 2025 Thread starter #3 hydroxo said: Uzi tayari. Click to expand... kwani uzi unatakiwa uwe na sifa zipi?Hujaona watu wanaweka uzi kuhusu kujamba! unashangaa uzi wa masau bwire?
hydroxo said: Uzi tayari. Click to expand... kwani uzi unatakiwa uwe na sifa zipi?Hujaona watu wanaweka uzi kuhusu kujamba! unashangaa uzi wa masau bwire?
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 4,795 Reaction score 7,937 Jul 5, 2025 #4 Yandika ati Masau Bhwile itali masau bwire Mjita itali mjita. Yego,anye inyandika yao yanjimya go,siga labha nasoka mwisabhwa chije chijisobhole kisi.
Yandika ati Masau Bhwile itali masau bwire Mjita itali mjita. Yego,anye inyandika yao yanjimya go,siga labha nasoka mwisabhwa chije chijisobhole kisi.
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,659 Reaction score 9,220 Jul 5, 2025 Thread starter #5 Mnafiki Wa Kujitegemea said: Yandika ati Masau Bhwile itali masau bwire Mjita itali mjita. Yego,anye inyandika yao yanjimya go,siga labha nasoka mwisabhwa chije chijisobhole kisi. Click to expand... ha ha
Mnafiki Wa Kujitegemea said: Yandika ati Masau Bhwile itali masau bwire Mjita itali mjita. Yego,anye inyandika yao yanjimya go,siga labha nasoka mwisabhwa chije chijisobhole kisi. Click to expand... ha ha
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,305 Reaction score 134,409 Jul 6, 2025 #6 fimboyaukwaju said: Huyu mjita ana vituko,kwanza ni mwalimu wa shule ya msingi,na kwa chini mama mama maa ni hatari balaaaaa,pia ni mwalimu wa kiswahili na msemaji wa jkt Click to expand... Isije tu ikawa umekuja kujianzishia uzi. Maana hakuna cha ajabu hapa zaidi tu ya kujipakulia minyama.
fimboyaukwaju said: Huyu mjita ana vituko,kwanza ni mwalimu wa shule ya msingi,na kwa chini mama mama maa ni hatari balaaaaa,pia ni mwalimu wa kiswahili na msemaji wa jkt Click to expand... Isije tu ikawa umekuja kujianzishia uzi. Maana hakuna cha ajabu hapa zaidi tu ya kujipakulia minyama.
Oworuganda JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 2,187 Reaction score 2,799 Jul 6, 2025 #7 Hivi hamna tuzo ya msemaji bora ?
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,659 Reaction score 9,220 Jul 7, 2025 Thread starter #8 Tate Mkuu said: Isije tu ikawa umekuja kujianzishia uzi. Maana hakuna cha ajabu hapa zaidi tu ya kujipakulia minyama. Click to expand... hoja inapowekwa mezani,kika mtu husema yake na hiyo ndio demokrasia ilivyo,lakini ukichunguza mantiki ya hoja utagundua kuna kitu kimefichika ndani yake
Tate Mkuu said: Isije tu ikawa umekuja kujianzishia uzi. Maana hakuna cha ajabu hapa zaidi tu ya kujipakulia minyama. Click to expand... hoja inapowekwa mezani,kika mtu husema yake na hiyo ndio demokrasia ilivyo,lakini ukichunguza mantiki ya hoja utagundua kuna kitu kimefichika ndani yake
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,346 Reaction score 118,821 Jul 7, 2025 #9 Picha iko wapi mkuu kwa sisi tusiomjua?
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,659 Reaction score 9,220 Jul 7, 2025 Thread starter #10 The Icebreaker said: Picha iko wapi mkuu kwa sisi tusiomjua? Click to expand... picha bila kibali chake siwezi kuipost hapa
The Icebreaker said: Picha iko wapi mkuu kwa sisi tusiomjua? Click to expand... picha bila kibali chake siwezi kuipost hapa