Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.