Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,084
- 136,574
Siku haijaisha mkuu, tulia tu, haijaisha mpaka iisheDid it happen?
Leo si ndo Gwajima alikuwa asimamishe nchi..
Nijuzeni tafadhalini maana wengine huku Simiyu kupata hela ya bando ni mbinde kwelikweli.
Ulisikia kwa nani kuwa atasimamisha nchi leo?Did it happen?
Leo si ndo Gwajima alikuwa asimamishe nchi..
Nijuzeni tafadhalini maana wengine huku Simiyu kupata hela ya bando ni mbinde kwelikweli.
Gwajima kaogopa?Siku haijaisha mkuu, tulia tu, haijaisha mpaka iishe
No reforms no election
JF.Ulisikia kwa nani kuwa atasimamisha nchi leo?
We mjinga,Dola ni dude kubwa sana, likituna kwenye chumba alichokaa Gwajima, atajua kwamba mambo si rahisi. Dola ikiamua kulinda nchi, Gwajima ni sisimizi anayepaswa kusiginwa awe vumbi
Hatujafuatilia, tupo busy na no reform no election hadi watawala wafunge account zao social mediaDid it happen?
Leo si ndo Gwajima alikuwa asimamishe nchi..
Nijuzeni tafadhalini maana wengine huku Simiyu kupata hela ya bando ni mbinde kwelikweli.
Mngetumia hilo jasho na damu kulinda wananchi wasio na hatia wasitekwe wala kuuawa hovyo tungewaelewaUsicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
Jasisi la Mbinguni lilipaa, yupo anaandaa nondoDid it happen?
Leo si ndo Gwajima alikuwa asimamishe nchi..
Nijuzeni tafadhalini maana wengine huku Simiyu kupata hela ya bando ni mbinde kwelikweli.
Leo hujabubujikwa na machozi?Usicheze Na Nchi hii na kuleta ujinga wako. Amani yetu tutailinda kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile na hatuwezi kukubali mtu mmoja na genge lake kutaka kuleta ujinga jinga wa kuhatarisha usalama wa Taifa. Kugusa usalama na amani yetu ni kuchezea moto kwa ulimi na kugusa mboni za watanzania kwa kucha.
Ilipofika saa tisa ,Akaunti YouTube ikawa Live , waiting for Gwajima !!Did it happen?
Leo si ndo Gwajima alikuwa asimamishe nchi..
Nijuzeni tafadhalini maana wengine huku Simiyu kupata hela ya bando ni mbinde kwelikweli.
Gwajima anakububujisha machozi?Ilipofika saa tisa ,Akaunti YouTube ikawa Live , waiting for Gwajima !!
Imechukua dakika kama 20, Live Streaming ikakata Pasipo Gwajima kuhutubia.
Nadhan
1-Kasitisha baada ya kuona Mamilioni ya Watu yako Mkutano wa CHADEMA Dodoma
Au
2-Ambao 'tupo' nyuma yake ,tumemwàmbia Sitisha kwanza.
Au
3-Kaona arekodi Kisha ataiachia !!.
Yote Kwa yote, BISHOP GWAJIMA SIO MTU WA KUYUMBA, LAZIMA ATAMVUNJA VUNJA SAMIA , NA BOMU ANALOENDA KULIACHA, NI BOMU LA WATEKAJI NA WALIOPO NYUMA YA WATEKAJI NA ÀNAYEWAFADHILI.
Siku hiyo Nchi itasimama.