SCREEN SHOTS |
Ok mkuu. thanks for ur honestyGenuinely sipendi movies za Mr. Bean hua naona ziko too exaggerated.... But this movie yaonekana wazi itakua a HIT. Na will watch.
Ok mkuu. thanks for ur honestyso u just dont like mr. bean movies or comedy movie in general.. if so what kinda movies do you like?
oooohhh sante mkuu..
ngoja niiangalie sasa online..
(ntakuletea feedback)
hehe sana 2 mkuu. Daah bt the premium accounts dnt work no more. Nitazi update umeme ukirudi. Cheers!Asante mkuu wacha niteremshe ila nimeshtuka kidogo kuona hii format ya video nadhani ipo wakati itafika kuwa movie nzima ina 10Mb tu
AD hi dear?? How is the weekend?? (na umeangalia movie gani recently ambayo ipo intretesting...)
mambo poa tu ...
weekend yangu hivyo hivyo tu bado najiuguza taratibu tu..
mchana huu ndo nimepeta nguvu hata ya kukaa..
ndo nataka niangalie hii ya John English ..
ijumaa iliyopita nliangalia Wild Hogs .....
Hujambo lakini ??
Vipi maisha??
yah i have seen da post nw. Daah 98% lol kwl nimeamini unazipenda sana. Yah i love comedy legends too. Esp charlie chaplin.I LOVE comedy for they are the type of movies I can watch nikiwa in any mood.... Umeona Thread ya Vivian hapo nje?? Zile movie za comedy zooote wametaja members tofauti... I have watched kama 98%... I just don't know why Mr. Bean hajanikuna. Nilikua napenda saana wale comedians wa kale saana wanaitwa Laurel and Hardy.... I could literally ROFL from watching their videos......lol