The fraud behind onyxcoin from kwakoo group(kenya)

Muamu3

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,708
4,483
Hodii wanajamiii forum leo ntaka kujua hii coin iliishia wapi na waafrika wengi waliwekeza kumbe ni utapeli inaitwa onyxcoin ilianzishwa na kwakoo group ya kenya chini ya Anthony saint muzungu na wengine kama eng. Gideon wanyoike mi miaka mitatu haina matumainj kama watu wakivyodanganywa
1_VDluRyH2ilDo3SS1UNLANg.jpeg



Logo ya coin yenyewe hiyo


saint.png

Mwanzilishi anthony saint muzungu aliyedanganywa watu alikusanya kama $3.5
 
Sidharau nchi za Africa lakini hata siku moja siwezi invest hata cent yangu kwenye coin yoyote iliyoanzishwa na mu-Africa...Africa janja janja nyingi sana
 
Back
Top Bottom