The First Cabinet - Tanzania 1964


Nimeipenda sana hii picha kwa kusema ukweli. Rais anajipanga foleni ya kwenda kupiga kura? Siku hizi rais akienda kupiga kura anakwenda na king'ola na msafara huo una magari zaidi ya 20, akifika anatengewa kiti katika kila hatua ya upigaji kura. RIP Mwalimu Nyerere, mzalendo wa kweli!
 
wakuu nilikuwa naperuzi nimekutana na hii cabinet ya kwanza kabisa baada ya uhuru: nimependa picha za hawa wanamapinzudi wa ukweli.

2015 tunahitaji balaza dogo kupunguza matumizi lukuki ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…