John Snow baada ya kumuua Danny hakustahili kuishi kabisa ukichukulia kwamba Danny alikuwa na jeshi kubwa linalomtii kufa na kupona! Kwa uhaini huo, nilitegemea jeshi limparue parue John vipande vipande au drogon amuangamize kwa moto! Aliondoka kirahisi sana hakustahili hata hiyo castle black!