donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Hapo kuna mmoja shemeji yenu sisemi yupi maana wabongo hamkawii kummendea
Au brichiCheck wasanii wa mbele walivyo nyoa vizuri sisi huku wa kwetu mpaka wafuge vimchicha kichwani matatoo kama yotee
Hahaha kwa hirizi ama?Hapo kuna mmoja shemeji yenu sisemi yupi maana wabongo hamkawii kummendea
[emoji2][emoji2]Hahaha kwa hirizi ama?
Masanja hawa wasanii wa bongo ni wanaboa mpaka wasokote dreads na kuvaa jinsi zilizochanikaAu brichi
Ni ngese Sana. Angalia mtu Kama diddy au. Common walivho smartMasanja hawa wasanii wa bongo ni wanaboa mpaka wasokote dreads na kuvaa jinsi zilizochanika
Huko mbona mbali,mr carter tu huyo hapo...Ni ngese Sana. Angalia mtu Kama diddy au. Common walivho smart
Mkuu naona siku hizi umekuwa mvivu kutuwekea vitu, i mean misosiš„