The expensive million TSH debate kwaajili ya wanaojitafuta

The expensive million TSH debate kwaajili ya wanaojitafuta

biashara kwa mbeya ni ngumu hasa mjini niliwaza nikatafuta eneo lenye uhitaji mkubwa maana walikuwa wanaenda mbeya mjini, uyole kuchukua mahitaji nikawasogezea maana wengi wao wanalikuwa wanapeleka kwenye makambi hata kama ni wateja 10 wanachukua mzingo mkubwa

Pagumu mno nadhani sijui kitu gani kinatoka Mbeya labda electronics, logistics sanasana. Ila chakula ni kigumu Mbeya.
 
Microfinance business a.k.a kausha damu. Hii biashara mwanzoni naambiwa niwekeze nikaona kama inatisha sana lakini nikajitosa aiseee unapata hela za chap saana cha muhimu hakikisha una vibali halali na utafute vijana wa kazi sio mabishoo

😂Ila hii ni ngumu sana mkuu. Mlikuwa mna operate vp locally or digitally?
 
Ilikuwaje uka dun
biashara kwa mbeya ni ngumu hasa mjini niliwaza nikatafuta eneo lenye uhitaji mkubwa maana walikuwa wanaenda mbeya mjini, uyole kuchukua mahitaji nikawasogezea maana wengi wao wanalikuwa wanapeleka kwenye makambi hata kama ni wateja 10 wanachukua mzingo mkubw
Ilikuwaje ukadunda
 
Back
Top Bottom