The Embassy of Ukraine in Nigeria says Nigerians who are willing to travel to Ukraine to fight Russian forces must be willing to provide $1,000

Ni njaa na shida ndio zinawasumbua
Billy Gates aliwahi kusema wavivu ndio huwa wagunduzi wakubwa wa teknolojia kwenye nchi za Magharibi.

Mfano akina uvivu kwenda kubonyeza kiddie cha TV kutafuta channels anagundua remote ya TV

Akina uvivu kulima na jembe la mkono anagundua trekta akiona uvivu kutembea mwendo mrefu kwa miguu anagundua baiskeli pikipiki au gari

Kawaida mtu mwenye njaa ndie anatakiwa kuwa mstari wa mbele kutafuta fursa.Wahindi, waarabu njaa inawasumbua na ndio matajiri wakubwa .Njaa ndio iliwakimbiza kutoka kwao uarabuni na uhindini kuja

Mswahili ngozi nyeusi Tanzania ukiwa mtafutaji unaambiwa njaa inakusumbua!!! Njaa inatakiwa kuwa driving force ya kukufanya utafute fursa popote ilipo duniani. Tanzania wengi mbona wana njaa na shida kibao hadi vijitu viswahili vyenye Ajira.Unakuta hakina uwezo wa kununua gari jipya cash.Vinatembelea mitumba ya mjapani.Nenda Nigeria au Kenya tu hapo .Watoto wadogo tu vijana wanatembelea magari brand new brand kubwa walizonunua cash na nenda pote dunia nzima utawakuta wanasaka fursa!!

Tanzania ajabu mtu mswahili ana njaa na shida sio driving force za kufanya asake fursa mpya popote duniani!!

Na mwenye kakidogo anabweteka hatafuti fursa mpya nje ya nchi karidhika

Tanzania mswahili mvivu au njaa au shida hagundui chochote anabweteka tu
 
Back
Top Bottom