The Egypt turmoil was is a cooked up .?

The Egypt turmoil was is a cooked up .?

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,289
Reaction score
1,426
Naona huzuni kubwa sana kwa mauaji yanayoendelelea Misri huku Mataifa ya Magharibi yakijisuasua kuhusu hali ya Misri
Pamoja na hayo Marekani pamoja na washirika wake kuhalilsha mapinduzi ya kijeshi dhidi ya rais Morsi aliechaguliwa kihalali .

Ingawaje tokea rais Morsi tokea ashike madaraka hakuwaridhisha wamisri kutokana na msimamo wake wa kuwakumbatia Muslim brotherhood.Marekani mpaka Leo wanajigonga gonga kuhusu kusimamisha msaada wao wa mabilioni ya dola katika jeshi.,halikadhalika jumuia ya Ulaya na inasuasua.Nadhali Israel wanachekelea yanayoendea Misri.Waziri mkuu wa Uturuki amesemakuwa Israel walishasema tokea awali kuwa Muslim Brotherhood hawatatawala Egypt
 
It is creepy how social medias like Twitter and Facebook can boil things up to the point of causing political manifestations in countries.
One cannot forget the fact of how they are third party, and sources of costumes of other countries.
And guess what?! Most of the networking/internet world today is just that.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom