The Economist wamsanua tena Magufuli uzazi bila mpango. Wasema ma amri amri hayataboresha serikali!

Family planning should be one of the core issues in a country where half of her budget depends on foreign aid. One.

Two. It's funny how a MAN, makes extremely Important decisions on what to do, with a WOMAN'S body..

ONLY IN TANZANIA!, IN 2018.

(..un effing believable!)
 
Wasingeendelea wahindi,waindonesia, au wachina , ila waseme kama wana ajenda yao ya pembeni ili waitekeleze baadae ....
wahindi wameendelea?
Ya aint serious.

Wachina wanawatoa wanawake mimba kwa lazima. Wakishajua kwamba una mimba ya tatu. Case kama hizi zimetokea mara kibao.

"Go back and do your research"
 
Africa’s high birth rate is keeping the continent poor

20180922_MAP004_3.jpg

Print edition | Middle East and Africa
Sep 22nd 2018

JOHN MAGUFULI, the president of Tanzania, has strong views about birth control. He does not see the point. In 2016 he announced that state schools would be free, and, as a result, women could throw away their contraceptives. On September 9th this year he told a rally that birth control was a sign of parental laziness. Tanzania must not follow Europe, he went on, where one “side effect” of widespread contraception is a shrinking labour force...

....Progress depends mostly on African politicians. It falls to them to create more and better schools, provide security for their people and invest in family planning. They, not foreign observers, need to conclude that their countries would be wealthier if they had rather fewer children. Like so much in Africa, almost everything depends on the quality of government. And that, sadly, is hard to decree.
==========

Wamemalizia kwa kusema DECREE, au ma amri amri na matamko tamko ya tawala za kina Magufuli wa Afrika, hayawezi kubadilisha ubora wa serikali zetu, na kwa bahati mbaya kila kitu Afrika kinategemea ubora wa serikali.
Upuuzi mtupu. Watu wazae tu. Nani kasema taifa likiwa na watu wengi umasikini unaongezeka. rubbish
 
ilikuwa ni agizo

Wizara ya Jinsia na Watoto imeipiga marufuku USAID kuendelea na harakati za kuhabarisha umma kuhusu uzazi wa mpango
tena kama hawataki kubadili project zao hao USAID wafukuzwe kabisa. ni mashetani wabaya sana hao. Hakuna hata siku moja amerika ana upendo wa dhati kwa Tanzania.
 
Africa’s high birth rate is keeping the continent poor

20180922_MAP004_3.jpg

Print edition | Middle East and Africa
Sep 22nd 2018

JOHN MAGUFULI, the president of Tanzania, has strong views about birth control. He does not see the point. In 2016 he announced that state schools would be free, and, as a result, women could throw away their contraceptives. On September 9th this year he told a rally that birth control was a sign of parental laziness. Tanzania must not follow Europe, he went on, where one “side effect” of widespread contraception is a shrinking labour force...

....Progress depends mostly on African politicians. It falls to them to create more and better schools, provide security for their people and invest in family planning. They, not foreign observers, need to conclude that their countries would be wealthier if they had rather fewer children. Like so much in Africa, almost everything depends on the quality of government. And that, sadly, is hard to decree.
==========

Wamemalizia kwa kusema DECREE, au ma amri amri na matamko tamko ya tawala za kina Magufuli wa Afrika, hayawezi kubadilisha ubora wa serikali zetu, na kwa bahati mbaya kila kitu Afrika kinategemea ubora wa serikali.
Mzee naona unamshika simba sharubu
 
wahindi wameendelea?
Ya aint serious.

Wachina wanawatoa wanawake mimba kwa lazima. Wakishajua kwamba una mimba ya tatu. Case kama hizi zimetokea mara kibao.

"Go back and do your research"
sasa china kuna watu b 1 na zaidi. wewe hata milion 100 hujafikisha. Pia china wameamua wenyewe siyo kuambiwa na nchi zingine. akili za kuambiwa ongeza na zako
 
China wako wengi na hawana umasikini...umasikini huletwa na uvivu sio uchache.
Ukienda hospitali na vituo vya afya watumishi wanastruggle kupambana na programm za uzazi wa mpango kuliko kutoa huduma za tiba
 
Has anyone who 'goes into labor' been included in these decisions?
Au hao watia mimba ndo wanaamua?!
 
Hawa wanampinga jiwe, hawaogopi pyupyupyu..?!

Naibu raisi na anonymous hawajawasikia wawateke wamu-Azori.
 
wahindi wameendelea?
Ya aint serious.

Wachina wanawatoa wanawake mimba kwa lazima. Wakishajua kwamba una mimba ya tatu. Case kama hizi zimetokea mara kibao.

"Go back and do your research"

Kuna tofauti ya kimaendeleo , hata huko Ulaya Kuna waloendelea Sana na wengine hawaipati hio India kimaendeleo !!!
Juzi tu China wamesema wazaliane watakavyo !!!

Soma / sikiliza habari za dunia. !!!!
 
  • Thanks
Reactions: Bxy
Kuzaa tu sio shida, shida ni pale wewe rais wa nchi unayepinga uzazi wa mpango halafu baadaye unafungasha virago na bakuli kwenda ugaibuni kuwaombea makombo hao hao ambao unawachochea leo wazae tu ovyo ovyo kama panya.

Leo hii ongezeko la watu tayari limesababisha matatizo ambayo awali hayakuwepo kama migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji, vijana wengi hawana ajira huku serikali ikishindwa kuja na jawabu ya matatizo hayo.

China ina population kubwa lkn wana changamoto kibau na tunaona vijana wao wakija huku kufanya umachinga. Rais yafaa awe na tabia ya kutafakari the potential repercussions kabla ya kunena.
 
Kwani huko nyuma kabla ya uzazi wa mpango waafrika tuliishije?tuache habari za ushabiki wa kichadema madhara ya upungufu wa idadi ya nguvu kazi ni mbaya kuliko kuzdi idadi,ukiona uchumi wako mbovu ndani ya nyumba yako na solution ni kutokuzaa achakuzaa,usiwaamulie watu wote kupanga uzazi
Sasa hapo nani kamuamulia mtu kuhusu kupanga uzazi.....aliyesema au wewe...ndio wasema..
 
Lakini si alisema ni maoni yake tu"?na sio kwamba ametoa tamko kuwa watu waachane na uzazi wa mpango, au me ndio sikumuelewa!?
Hajaamrisha mtu alikua anaongea kwa mawazo yake tu, kwani alivyosema wanaopanga uzazi ni wazembe na wavivu ni kweli, kupanga uzazi mapenzi yako binafsi raisi hawez kukukataza kupanga uzazi maana hakuletei nepi, uwezo wako wa kulea ndo unakufanya uzae matoto mangapi, yeye mwenyewe ana watoto wawili mbona
 
Back
Top Bottom