Dreams LLC
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 449
- 513
wahindi wameendelea?
Ya aint serious.
Wachina wanawatoa wanawake mimba kwa lazima. Wakishajua kwamba una mimba ya tatu. Case kama hizi zimetokea mara kibao.
"Go back and do your research"
mkuu uzazi wa mpango China umepelekea wanaume kuwazidi wanawake almost 40 milioni.Sasa hivi kupata mke Uchina ni utata.Serikali imeamua kuruhusu kuzaa mtoto zaidi ya mmoja sasa hiv.Pia uzazi wa mpango china ilikuwa ni kutokana na hofu ya watu kuwa wengi kuzidi eneo.Ni tofauti na sisi,sie bado tuna mapori ambayo hatuwezi kujaza leo wala kesho.
Pia ukiangalia nchi nyingine kama Japan, sasa hivi wana encourage watu kuzaa sababu washaanza kuona effects zake.Uzazi wa mpango ni propaganda tu za watu weupe ili tusizaliane