The East Africa we don't want to see.

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,958
6,989
Hivi inakuwa vipi tunachagua viongozi kama hawa. Tumerogwa. ???
IMG_20180220_180246.jpg
Screenshot_20180218-123040.png
 
Walivyokuwa wajinga wanakuja humu kuwasifia viongozi wao. Sijui kingereza kiliwasaidia nini.
 
Kuna mama mmoja anaitwa Waiguru. Ameiba pesa sana za Serikali. Dili nyingi zakuiba pesa hakosi
Lakini walimchangua tena kuwa mbunge wao na bado anapewa vitengo vikubwa.
 
mtu akitia bidii maishani anunue au kukodisha chopper kuna shida gani?? kwani ni lazima mtu awe ameiba hela za wananchi ndio aweze kununua chopper?...most of these politicians are rich even before they enter politics...sioni makosa hapo...makosa tu ni kujenga daraja la mbao na darasa la matope....angeitisha hela zaidi toka kwa serikali ama afanye harambee ili ajenge daraja la maana na madarasa ya maana....otherwise mtu wacha ajienjoy na hela zake anavotaka....akitaka kufly chopper mwache tu ama mlitaka atoe hela zake mfukoni ajenge daraja? the law does not force rich people to donate their wealth to development projects....
 
Ni vigumu sana kutofautisha pesa za mtu binafsi na pesa za viongozi, hasa kwa nchi iliyojaa rushwa, ubinafsi na matumizi mabaya ya pesa za serikali kama Kenya, ukianza kutumia kauli kama hizo, kamwe hamtoweza kupunguza rushwa na matumizi mabaya ya pesa za wananchi kunakofanywa na politicians.

The best point ya kuanzia kwa nchi kama Kenya, ni kuanzia na dhana kwamba, kila mwanasiasa utajiri wake umetokana na ubadhilifu hadi pale atakapothibitika sio kweli, kwenye epidemiology ni kwamba mnatumia approach ambayo ina high sensitivity with low specificity, bila hivyo msahau kupambana na rushwa Kenya.
 
Huyo jamaa ni tajiri sana, nilishangaa kitu gani alifuata kwa siasa ilhali hela alikua nazo za kutosha.
 
Hahaha ebu rudia tena. Ate what? Pull up selector. "Kwenye epidemiology tunatumia approach ya High sensitivity with low specificity" . Ebu fafanua maana yake. Wengine wetu Akina yahye hatuelewi
 
Huyo mkikuyu hanaga akiĺi
Ni vigumu sana kutofautisha pesa za mtu binafsi na pesa za viongozi, hasa kwa nchi iliyojaa rushwa, ubinafsi na matumizi mabaya ya pesa za serikali kama Kenya, ukianza kutumia kauli kama hizo, kamwe hamtoweza kupunguza rushwa na matumizi mabaya ya pesa za wananchi kunakofanywa na politicians.

The best point ya kuanzia kwa nchi kama Kenya, ni kuanzia na dhana kwamba, kila mwanasiasa utajiri wake umetokana na ubadhilifu hadi pale atakapothibitika sio kweli, kwenye epidemiology ni kwamba mnatumia approach ambayo ina high sensitivity with low specificity, bila hivyo msahau kupambana na rushwa Kenya.
 
Huyo jamaa ni tajiri sana, nilishangaa kitu gani alifuata kwa siasa ilhali hela alikua nazo za kutosha.
Kuiba ndicho alifaata. Uliambiwa ukisha kuwa tajili ndounaacha kutafuta pesa?? Wizi wapesa ndoanatafuta. Wakikuyu huwamko mazuzu sana
 
We jamaa unawaogopa sana wakikuyu. Seneta Kithure Kindiki si mkikuyu. Usiandike jina lake kwenye kitabu cha orodha ya wakikuyu unaowachukia.
 
Back
Top Bottom