Hulali...?Naona taratibu waanza kunitia vidole vya macho.
Afu tar 28 inakuja...japo nipo kwenye dozi, lakini lazima mita isome namba.
Hulali...?
Unajua mwenzako niko kwenye kikao mpaka mida hii....
Hapa niko kwenye Tea Break, ndio maana nimpata muda wa kuandika huu u.p.u.u.z.i
Mie nalalaga?
Afu nipitwe na umbea huko nje!
Ila nina wasiwasi na hyo tea break...hujachepuka kidogo,
Maana hujaenda na Mama Ngina...au Gisele kakava kila idara?
Angalia,bado twazihitaji stori zako ujue.
Nimeshawazoea, hata Kaundime alipomteka nyara LiverpoolFC katika mazingira ya kutia shaka pale LEO TUPO HAPA PUB mlinisingizia pia ..............
Wahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...
Wahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...
Mbona umezunguka sana. Ungesema tu Madame B badilisha hiki ama kile.
Out of Topic:
Halafu shem Madame b unasema mpaka saa nane usiku hujalala? Au unaishi chumba kirefu!! maana vijana wa Kino balaa
mimi navaa size yangu sihusiki hapaWahanga wakubwa wa hii nadharia yako kaka mkubwa nadhani ni wadada...ngoja tuwapishe wajifarague japo kwa uchache tupate kujua ni kwanini hufanya hivyo...