Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,558
- 28,517
Ziliwahi kuwepo na tuhuma za madawa ya kurostisha!!Unapo mwangalia unaona Nini?
A real reflection of cartel
Unachanganya madawa!!Ziliwahi kuwepo na tuhuma za madawa ya kurostisha!!
Ha ha ha…kama samaki, suala la Azan mmoja akioza……..!!Unachanganya madawa!!
Mafia ni Idd Mohamed Azzan wa Kinondoni Siyo huyo Mussa Azan Zungu wa Ilala
Litalaani vipi matukio yenye sura ya uasi dhidi ya serikali na dola kwa ujumla?.View attachment 3520852
Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.
Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
Wewe uko kati ya wale wajinga 98%, unajighushi mwenyewe!Litalaani vipi matukio yenye sura ya uasi dhidi ya serikali na dola kwa ujumla?.
Litalaani vipi jaribio lililozimwa la kuipindua serikali ambayo bunge ni sehemu yake muhimu?.
Wanaharakati mna taabu sana, vipi kwa mfano wale wahuni wangeweza kuiangusha serikali wewe mleta mada ungeandika kwa namna ya kutia huruma yenye kufanana na hii mada yako?.
Hao wajinga wapo mpaka October 2030 mtaendelea kuandamana humu JF na instagram.Wewe uko kati ya wale wajinga 98%, unajighushi mwenyewe!
Mi si GnZ.Hao wajinga wapo mpaka October 2030 mtaendelea kuandamana humu JF na instagram.
View attachment 3520852
Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.
Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
Wauza madawa ya kulevya wamemuweka mtu waoView attachment 3520852
Kwamba huyu ndiye Spika wa Bunge la Tanzania, basi tumekwisha.
Bunge litakuwa mwangwi tu wa kile serikali ya Mama Samia inataka.
Bunge halijalaani matukio ya mauaji ya Oktoba 29.
Huyu Azzan Musa Zungu atakuwa mtetezi tu wa mapungufu na maovu yote ya serikali katika Bunge ambalo wawakilishi wa wananchi, wengi wa hao wabunge ni wale vilaza tu (baba Levo et al)
Naomaba kumuwakilisha kwenu Azzan Musa Zungu-The Devils Advocate!
Hao hao kingpins wa Ilala!Unachanganya madawa!!
Mafia ni Idd Mohamed Azzan wa Kinondoni Siyo huyo Mussa Azan Zungu wa Ilala
Ni bunge la machawa na vipunga, muulize baba Levo.Tanzania kuna bunge??