Mimi napenda kutoa mawazo baada ya utafiti na huu hapa ni utafiti wangu wa usafiri. Kwanza nianze kueleza hali ya sasa ya pato la basi mmoja kama mfano kutoka Dodoma kwenda Dar. Hili halijazingatia gharama za gari kama mikopo, registration , bima..... na mengineyo Haya ndiyo makadirio ya...
Msukumo wa kuanzisha hii mada ilikuwa hiyo post na malalamiko yake.
Uwezi kuanzisha mada na hesabu ambazo hazina kichwa wala miguu kibiashara halafu utake watu wajadili.
Time to deal with other errands.
Good afternoon.