Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Ahsantum Al Akhiy Moh'd Said.
Kwa tuliowahi kuwa nae karibu tokea tukiwa UDSM na kubahatika kufanya nae kazi alikuwa msaada mkubwa sana kwa tuliosomea UCHUMI Kwani muda wote aliweza kukudarsisha pahala popote bila kujali hadhwi na wadhwifa aliokuwa nao. TUNA MENGI SANA YA KUJIFUNZA KUTOKA KWAKE.
Ahsantum kwa darsa hili.
Kama hili darsa au darasa mshauri huyu radical muslim apeleke hili darsa kwenye muslim university morogoro nadhani kule ndio kuna akili ukwaju za kuwaingiza huu ujinga wake.
Halafu kumbe chuo kikuu umesoma Tanganyika? Vipi mbona huwa hamwendi kusoma uarabuni?