The last days of Prof. Kighoma Ali Malima, July/August 1995

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,798
31,811
IMG-20150423-WA0019.jpg

Prof. Kighoma Ali Malima 1985

On Sunday 17 July, 1995, 37 years since TANU held its 1958 annual meeting in Tabora the meeting which paved the way to independence, Prof. Malima addressed a big rally at Uyui grounds. The Tabora meeting would be remembered for its achievement. It managed to put into Legislative Assembly Julius Nyerere, Chief Abdallah Said Fundikira, John Ketto, Nesmo Eliufoo, John Mwakangale, Lawi Sijaona and Paul Bomani. It was in Tabora that Nyerere shed tears because of oppression of which Tanganyikans were being subjected to by the British. Nyerere said if the British did not want to set Tanganyikans free he would direct his anguish to God. Before Prof. Malima spoke Bilal Waikela mounted the platform dressed in his prison uniform which he wore thirty years ago when he was detained by Nyerere for resisting Christian hegemony. He reminded the people of Tabora that he was detained by Nyerere for reminding him of the cherished ideals of TANU the party they had formed and built together in order for Africans of Tanganyika to be free from all forms of oppression. Waikela told his audience that and he was now returning to politics to seek for that equality and justice denied.

Z5jp4Wp8720I62k8y5kzvK7MTpHtRbGWWLC32FLmBe73jHxhA-FCARHDhL78gW4AkCgaA0aqYsW448mu237Ct9OgEp80Ksxd703dS2e26TzHRFrjEQNtZCswKd1yQpnXPRHFLhnl8zAfWrAvZ7WG8o31nWGq-Vs4K8g6uEsE30c3v5xL9URTloNxeWmeRjBUx_GzoKndkSBTEt0Kqp1bcINH__PMdD3ufhIcEgmCMK0uNl0jyoUPTRmNM6dbVt7Z57S1Agst03aonLTIcZyzEqwGt4u24A3ocZia1SmzgYHk2klvuzzyAIy02it8gjgQ0EYQ58NzsLOnGcUdNJctYTm-Pz2OivNRlLZuNyznbwa0LMN5yeM6y7PRTEaU7niEraipnrXLEGoTIHp5boafsSiE0XB6lbHicPowOLGHi7sUaoky4YeJ0m2jKvfWSW18p9VQVrz-JOIo8xsSh4ACifvlXdoobDtjbbovrn5qiDWWwQNqndxDswOgXrlyR3fS_XHqYxMgrn_AcMPJ3GynFy3mA_UtvAOMe9vBeytabj4GRM6xKrbIFkh46z7fZtj0KwLE=w367-h643-no

Bilal Rehani Waikela​

Prof. Malima announced his resignation from the CCM at the Uyui meeting. Prof. Malima told his audience that that oppression which made Nyerere shed tears while giving a speech to members of TANU and the people cried with him at the Tabora Central Market was still prevalent 37 years after the tears had long dried. Prof. Malima told his audience that he was resigning from the CCM because, he said, the party has deviated from its cherished ideals of justice and equality and had established classes. He was resigning and joining the opposition in order to fight for equality among all the people in Tanzania.

That Sunday night NRA National Conference was held and Prof. Malima was elected Chairman and Abubakar Olotu secretary of NRA. What had taken place in Dar es Salaam Airport repeated itself in Tabora Railway Station. NRA had booked a wagon for its delegates travelling back to Dar es Salaam and had paid for it in advance. But when they arrived at the railway station, they were told that no wagon has been allocated to them. The press had the chance to correct their earlier story that Prof. Malima had planned to announce his resignation from the mosque but it did not do so. The propaganda machinery wanted people to believe that Prof. Malima was unable to do so because Muslims did not allow him to mix “religion and politics.”

Soon after returning from Tabora Prof. Malima travelled to Mecca and from there he went to London. Meanwhile NRA was preparing for a big welcome of Prof. Malima which would be followed by a meeting of Dar es Salaam Elders in which he would tell them why it was necessary for him to resign so that they charter a new course which would ensure justice and equality to all. This meeting would have been followed the next day with a meeting with foreign journalists at Kilimanjaro Hotel Prof. Malima died in London on Friday night the 4 August, three weeks after resigning from CCM and announcing he was standing as s presidential candidate under NRA. On 9th August, Prof. Malima’s body was flown back to Dar es Salaam for burial. The government took upon itself to take over the funeral on what it said was Prof. Malima’s “commitment in serving the country diligently and honestly.”

(Excerpts from ''Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania'') unpublished.

***
In 1998 I published my book ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika.'' I dedicated the book to the memory of Prof. Malima:

20160131_132212%252520%2525281%252529.jpg

Tmpl36m9n4oyd6VExUIsL_W8fHWuKh422kcI3Dx3D-Eo=w1044-h383-no

IMG-20150420-WA0020.jpg

Julius Nyerere​
 
Walau historia hii sasa haiwezi futika.....tunaisoma....itarithiwa
 
"Katika nchi nyingi, Wazayuni hawana haja ya kuweka taasisi za muundo mwingine bali wanapenyeza watu wao au kuwa na maajenti katika mashirika ya nchi husika na huwa na mamlaka ya kuendesha mambo watakavyo. Kwa mfano, CIA iko mikononi mwa Wazayuni ikipokea malekezo na mikakati toka Israel. Isiajabishe kusikiya kuwa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa vyombo ambavyo kupitia kwavyo Wayahudi wanatimiza malengo yao ya kijasusi kimataifa.

Mwanasiasa, kiongozi au mwanataaluma yeyote anayekwenda kinyume na watakavyo majasusi wa dunia huhatarisha maisha yake, mfano mmojawapo ni wa hapa Tanzania. Aliyekuwa waziri wa elimu, baadaye mipango, kisha fedha marehemu Profesa Kighoma Malima aliondolewa uwaziri wa mipango kwa kuwa hakuwa tayari kupokea sera za kinyonyaji kutoka kwa majasusi wa dunia katika kile kilichoitwa kufufua uchumi wa mataifa hasa ya ulimwengu wa tatu. Ili kumuua kisiasa na kitaaluma, majasusi wa kimataifa waliwatumia maajenti wao hapa nchini.

Kazi iliyofanywa na maajenti hao ilikuwa kumpiga vita kupitia magazeti ndani na nje ya nchi. Maajenti hao wakati huo huo walitumia fursa hiyo kufanikisha mipango yao dhidi ya mwanataaluma huyo ambaye kwa wakatoliki alitazamwa kama kikwazo cha masilahi ya kanisa lao wakati huo. Silaha walizotumia zilikuwa udini na uendeshaji vibaya uchumi wa nchi akiwa kama Waziri wa elimu, wa mipango na baadaye wa fedha. Mwaka wa 1995 iliandikwa makala katika jarida moja kuwa Prof. Malima alikuwa mshiriki katika njama za kuingiza silaha nchini zitumike na “waislamu wenye siasa kali” ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu.

Wakati ikiandikwa makala hiyo Askofu Polycarp Pengo wa Kanisa Katoliki alisema kuwa Prof. Malima alikuwa mtu hatari ambae ni lazima ashughulikiwe. Karibu mashirika yote ya Umoja wa Mataifa ni nyenzo ya kutimizia maslahi ya majasusi wa kizayuni duniani kote na Wazayuni wanauona Umoja wa Mataifa na mashirika yake kama ndivyo vyombo muafaka kabisa vya kutimiza malengo yao. Mwanasheria mashuhuri wa Kiyahudi wa Mjini New York, Henry Klein, alielezea mambo haya haya katika kitabu chake kilicho wazi kabisa, Mazayuni wanaotawala dunia (Zions Rule the World, New York, 1948) ameandika: Umoja wa Mataifa ni Uzayuni. Ni serikali kuu iliyotajwa mara nyingi katika protokali za wanazuoni wakongwe wa Kiyahudi zilizotangazwa rasmi kati ya mwaka 1897 na 1905. Bila kuangalia mawanda ya dunia, mabavu (nguvu za ziada) yanayofanya kazi ulimwenguni pamoja na kuangalia ukubwa wa tatizo, basi hakuna tiba itakayopatikana na hivyo ufumbuzi utabaki kuwa mgumu. Wakati zielezwapo nguvu na hila za Wazayuni dhidi ya ulimwengu wa Waislamu, haina maana kuwa hili ndilo tatizo pekee linalowakabili Waislamu hivi leo. Ila tu hakuna namna ya kuukanusha ukweli kuwa kazi inayofanywa na Wazayuni ndiyo hatari kubwa kwa jamii ya Waislamu popote pale walipo. Matatizo mengineyo ni matokeo tu ya sera zinazotekelezwa na (mtandao wa) Uyahudi wa kimataifa.

Wasusi wa mipango ya Wazayuni ni mahodari kweli kweli wa kutekeleza programu yao Duniani kote ikiwa ni pamoja na nchi za Waislamu, ambapo wao hushughulika na kazi ya “kuzalisha” migogoro kwa mpangilio uliotafakariwa barabara. Kwa kweli mbinu yao hii huwa na athari za chinichini mno na ule upeo wa malengo ni wa jumla, kiasi kwamba ni watu werevu na makini tu ndio wanaoweza kuuona mzizi".

Nukuu kutoka kwenye mswaada wa kitabu
changu kinachohusu ujasusi.
 
Utahangaika sana kumsafisha Kighoma Malima.

He was divisive just like you.
He was also corrupt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa waziri wa Fedha ndiye aliyeenda ku-freeze account zake za kifasadi huko UK na Malima akapatwa na shinikizo la damu lililomuua.

Na si kweli kuwa Malima ndiye aliye anzisha mfumo wa namba za mitihani (Najua baadaye utaleta hizo stories).
 
Mwalimu Nyerere alikuwa na nia kwenye mpango wake wa succession alikuwa ameandaa mpango wa kuandaa viongozi ...wakiwapo Vijana kutoka Pwani ..Ili mmoja wao ikibidi awe Rais wa Nchi siku moja .....Kati ya vijana waliokuwa wameandaliwa kwa umuhimu Jina la KIGHOMA ALI MALIMA ndio lilikuwa likipewa umuhimu ...wengine wapo kina Bakari Mbonde na JAKAYA KIKWETE ambaye aliingia baadaye kwenye list ya wanasiasa maarufu kutoka Pwani waandamizi

JAKAYA kikwete akilijuwa Hilo alicheza karata yake vizuri kuhakikisha ....kuwa Jina lake linapewa umuhimu zaidi ...Ili kwenye umuhimu wa kikanda Ndani ya ccm basi Jina lake liwe muhumu zaidi ....na alifanikiwa kuwa Kama icon wa siasa za Pwani ...na kijana Mwaka 1995 kilichomuwezesha kupata ticket kwenye Tatu bora ....
 
Phillemon Mikael,
Nimekusoma lakini uliyosema yanapingana na niyajuayo mie kutoka vyanzo tofauti.
 
Nanren,
Unaandika ukiwa umeghadhibika.
Ghadhabu hupunguza uwezo wa fikra na matumizi ya lugha za kupendeza.

Hii ndiyo sababu umekuja na mambo ambayo hayako katika maudhui ndani
ya bandiko langu.

Ukitulia rejea na andika kwa makini.
In Sha Allah tutafanya mjadala wenye tija kwetu sote.
 
NRA ilikufa kibudu sana.sasa nimepata japo kidogo kisa cha NRA kushamiri kipindi kile 1995..Eneo nilipokuwepo limenifanya niunganishe na haya..
 
Back
Top Bottom