The day Nyerere refused to meet Ali

The day Nyerere refused to meet Ali

Nyerere alikuwa anajiita Mwanachama wa nchi zisizofungamana na upande wowote (Non aligned Movement) japo alionekana dhahiri shahiri ni kibaraka wa umoja wa nchi za kisoviet za urusi (Ussr). Wanasiasa wote wanafanana kwa unafiki wanachotofautiana ni kiwango cha unafiki tu!
 
Kipindi hiko vita baridi ilikuwa imepamba moto na kukutana nae kingetafsiliwa kama kitendo cha usaliti wa Tanzania kwa Urusi.

Kwa kuongezea inawezekana pia alishinikizwa na ukweli kwamba Tanzania ilikuwa miongoni mwa nchi zilizojiita "Nonaligned countries," ambazo "hazikufungamana na upande wowote"; ama Magharibi (Marekani, Uingereza, Ufaransa na wengineo) ama Mashariki (Urusi, Uchina, Ujerumani Mashariki na wengineo). Kugoma kwenda Urusi kungetafsiriwa kama Tanzania imewafuata mabepari (Magharibi) na kuwatosa Wajamaa (Mashariki) kama alivyosema Fydell. Mbaya ingeonekana imefungamana na upande mmoja - Magharibi na hivyo kuusaliti umoja huo wa Nonaligned counties.
 
Mwalimu alikua na akili sana. Huu ulikua upuuzi. Kwanini huyo Carter hakuja mwenyewe au aandike barua ikulu kwa Mwalimu japo ujio wa huyo Ali?
 
ninahisi Nyerere alikutana nae in private akamchana ukweli, na ali alimwelewa sababu ali mwenyewe aliikatalia serikali yake asipigane vita na vietnam
Mada inaongelea Urusi kuvamia Afghanistan, sio Marekani kuvamia Vietnam.
 
miaka mi 4 kabla sisi tuligomea michezo kama hiyo iliofanyika Antlanta USA. sababu kuu ushiriki wa New zealand kwa vile timu yake ya Rugby ili cheza mechi na Springbok ya South Afrika...sababu dhaifu.

ingawa Nyerere alikua akichukia nchi nyengine kuvamia nchi nyengine ...lakini hili la Urusi hakuchukia hata kidogo wala kulaani... Kitendo hichi cha Urusi kuingia Afghanstan ni tofauti kabisa na cha sasa cha USA kuingia huko. Tunajua kuwa USA waliingia baada ya sept./11 hivyo kulikua na justification fulani fulani..ingawa haikua invasion as nchi nyingi ziliungana na US.
Lakini uvamizi wa USSR ulikua ni total control ya Nchi hio na kumweka kibaraka wao Mohammad Najibullah ambapo hakukua na haki za msingi wala uongozi unao eleweka isipokua mauaji na uonevu. Hapa ndipo Dunia ilikasirika na ulimwengu wa kiislam nao ulikasirika na ukaamua kuwaunga mkono mujahidina kuwatoa Warusi ..na wakafanikiwa
Nyerere asingeweza kusapoti Mujahidina ....inagwa aliwahi kusapoti Biafra...sababu zinajulukana
marekani yenyewe ilipovamia afghanistan walikuwa na total control ya nchi na ndiyo maana walimtimua Mullah Omary na kuweka kibaraka wao.... unapojadili ishu hizi usiegemee upande mmoja na kujivika upofu
 
Mkuu remember at that time Tanzania was implementing social and self relience politics ambazo muasisi wa hizo sera ni Urusi na China. Ingekuwa ngumu kwa Mwal. Nyerere kukutana na kumsikiliza Ali aliyetumwa na uongozi wa nchi inayokumbatia ubepari. Kipindi hiko vita baridi ilikuwa imepamba moto na kukutana nae kingetafsiliwa kama kitendo cha usaliti wa Tanzania kwa Urusi. Mwl. Nyerere hakutaka kujibaka
Ulikuwa na mawazo kama yangu


Mwl. Alisoma nyakati


Kwn alikua socialist kama China na urusi
 
Mada inaongelea Urusi kuvamia Afghanistan, sio Marekani kuvamia Vietnam.[/

Hujanielewa, vita ipi kilitangulia kati ya vita vyao na vietnam na urusi kuvamia afghanistan.
 
Kulingana na mleta hoja, Mohd Ali alikuja 1980. Vietnam ksma si mwisho 60 ni mwanzoni mwa 70.
 
hiyo mbinu marekani wangeitumia kwa rais wetu wa awamu ya nne ingewafaa sana ila kwa rais wa awamu ya kwanza walichemka
 
He was right because Tanzania was among the NAM countries in the world its hard to support such movement
 
Kulingana na mleta hoja, Mohd Ali alikuja 1980. Vietnam ksma si mwisho 60 ni mwanzoni mwa 70.

Ndio maana nikasema aliikatalia serikali yake asiende vietnam kupigana, na US gov walimwadhibu ila baadae wakaja tengua, so walivomtuma Tz alikuwa anaelewa na ana kumbukumbuku kuhusu alivonyanyapaliwa na hao hao waliomtuma. Hence nikasema huenda mwalimu alimvuta pembeni akamwambia ukweli na huenda mo ali alimwelewa. Utakuwa umenielewa sasa I hope.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Ndio maana nikasema aliikatalia serikali yake asiende vietnam kupigana, na US gov walimwadhibu ila baadae wakaja tengua, so walivomtuma Tz alikuwa anaelewa na ana kumbukumbuku kuhusu alivonyanyapaliwa na hao hao waliomtuma. Hence nikasema huenda mwalimu alimvuta pembeni akamwambia ukweli na huenda mo ali alimwelewa. Utakuwa umenielewa sasa I hope.
Nimekupata ndugu
 
Back
Top Bottom