Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .
Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini
Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani. Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi .
Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa .Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi
Unaongea kinaz unaona ni jambo rahis coz ni chama chako kinafanya hayo hivi unadhani Zanzibar kukichafuka kwa maana ya wananchi kuchoshwa na upuuz wenu huku tutakuwa salama?.. Wakati mwingine tujadili mambo kwa maslah ya Taifa siyo unazi wa ajabu... Unahis umeya wa jiji hauna maana Leo kwa sababu hamna nafas ya kuchukua ila mbna alipokuwepo Massaburi mlikuwa mnajionea fahar?...chonde chonde na unazi.Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!
Mbona mnawapenda Sana Hao jumuhia za kimataifa? Kwani wenyewe wakinanani? Mbona wanashibdwa ya Syria?Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .
Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini
Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani. Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi .
Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa .Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi
Vitu vidogo ndio nini? Unajua bila cent moja hakuna milioni?Unazungumzia vitu vidogo sana. Wananchi tunataka mabadiliko ya kiuchumi na kijamii ambayo Rais anaendelea kuyafanya. Meya akichaguliwa tena wa Jiji ambaye hana eneo lolote la Utawala wewe unapata nini? Zanzibar ni Nchi yenye Katiba na Tume yake. Rais wa JMT hawezi kuingilia mambo ya Kisheria bwana!
Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .
Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini.
Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani.
Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.
Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.
Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
Ogopa mtu wa kulipiza visasi ila siku moja atalipwa. Humjui roho aliyonayo.yaan nataman mbingu ipasuke imeze mijitu yote ya ccm yaan siyapenden kama nn nikiyaona nahis kupasuka ccm siku moja utakufa kifo kibaya
Waberoya ulitaka upinzani wampigie kampeni Magufuli ili wasichemke?Labda sijakuelewa
Hamna upinzani kwa sasa..bali kuna CCM "A" na CCM "B"Tokea aingie madarakani rais Magufuli amekuja na style yake mpya ya utawala wake wa kutumbua majipu kiasi kwamba amejizolea sifa nyingi sana hapa nchini na nchi za nje.Kuna baadhi ya mambo mazuri ameshafanya kwenye siku 100 tokea aingie ofisini .
Pia kuna masuala mengine yametendeka na kugubikwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi katika siku zake hizo mia moja za ofisini.
Nataka nizungumzie suala la demokrasia ,katika suala hili naona Rais Magufuli ana walakini katika hili la kipengele hichi cha demokrasia. Katika hotuba yake ya awali aliwahi kusema uchaguzi umekwisha sasa tujenge nchi na mimi ni rais wa watu wote huku akiwalenga wapinzani.
Kuna suala la uchaguzi wa Zanzibar hili analijua wazi na lakini anajifanya halijui na hahusiki nalo kiasi kwamba jumuiya za kimataifa wanalifuatilia kwa ukaribu sana .Huku akiwatisha wa Zenj kwa nguvu za kijeshi.
Kitu kingine ni uchaguzi wa mameya katika baadhi ya miji, tumeona figisu figisi zinazo tokea kwani chama chake hawakubali kushindwa kwenye masanduku ya kura ingawaje wananchi wamewakataa.
Mimi naamini utawala bora wa kiongozi yeyote ule katika nchi huendani na demokrasia na sio vitisho kwa wapinzani sabubu kuna mambo mazuri serikali inaweza kuyachukua toka kwa wapinzani katika shughuli za kuongoza nchi.
Ni ndoto za mchana kufikiria Zanzibar kuchafuka , nani afanye fyoko ? Magufuri ana mambo makubwa hivi vijambo vidogo vya Znz nA umeya mpelekee NapeUnaongea kinaz unaona ni jambo rahis coz ni chama chako kinafanya hayo hivi unadhani Zanzibar kukichafuka kwa maana ya wananchi kuchoshwa na upuuz wenu huku tutakuwa salama?.. Wakati mwingine tujadili mambo kwa maslah ya Taifa siyo unazi wa ajabu... Unahis umeya wa jiji hauna maana Leo kwa sababu hamna nafas ya kuchukua ila mbna alipokuwepo Massaburi mlikuwa mnajionea fahar?...chonde chonde na unazi.
Mkuu kwa hili nakuelewa sana.Baada ya uchaguzi na ukawa kujua kuwa wana madiwani wengi na likely kuongoza DSM, walitakiwa kujipendekeza kwa rais zaidi kuliko kuwa naye mbali!! ni techniqe za kawaida kabisa za siasa
kuna wakati upinzani unajikomba kwa rais ili wabunge wa ccm wasiwazidi kete wapinzani, kuna wakti upinzani unajikomba kwa spika, kuan wakati unafanya mbinu yoyote ili upate kile unachotaka
ni siasa na mara nyingi imekuwa hivyo
Magufuli ni ajali kwa CCM, kaja kwa bahati na hakutarajiwa, wangeungana na huyu mtu kusafisha uozo wote ingewezekana
ila walianza na kumdhihaki, kumtusi, kejeli na issues kibao ambazo sasa zina wa hunt
ni hivi, CCM akichukue umeya kwa ubabe, tutaishia kutukana na kulalamika tu....thats it
lengo ni ukawa wachukue UMEYA, kuna price sio rahisi CCM kuachia; kwa mwezi zinapotea bilioni 2 mpaka nne kwenye hizi manispaaa...CCM hawataki uchafu huu ujulikane
H
Hamna upinzani kwa sasa..bali kuna CCM "A" na CCM "B"