Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 619
- 727
Umejaribu kuweka tafsiri mkuu, hongera....👋Kiongozi anayeachia madaraka, akitaja kutoridhika na serikali,baada ya kuitumikia kwa miaka mitano,huku akijitajirisha kwa jasho la walipa kodianausaliti uaminifu mtakatifu aliopewa.Kiongozi kama huyo hastahili heshima wala sifa bali hukumu thabiti ya wananchi. Ni hekima ya jamii yenye haki kuwakumbusha viongozi kama hao, chini ya mti wa haki, kwamba ofisi ya umma ni agano takatifu,linalohitaji heshima kwa manufaa ya wote na usimamizi wa maadili wa rasilimali za umma.