Tumia kiswahili ofisaaa, Tanzania sio wazungu.
Kwenye point zote hizo nakubaliana na wewe.
Hapo kwenye Maji ndio kabisaa Jiji la Mwanza, sio jiji la kukosa maji kabisa wakati lipo kando kando ya ziwa kubwa Duniani. Sio tu Mwanza, inatakiwa mikoa kama Mara, Kagera, Kigoma, Rukwa, Katavi, Mbeya, na mingineyo inayopakana karibu na maziwa makuu kusiwe na shida ya Maji.