Nzuri bwana....hehe jamani trucks huwa pia zinanitia wazimu
hehehe una hamu ya kupandishiwa kodi ya pango wewe eeh?
ewaaaah! Hii ni convertible?
labda nipewe kama ile ya Obama.....hivi inauzwa wapi ile.....?...nataka bullet proof car.......
Dah kweli King'asti sijawahi ona convertible 4WD,sijui USA kwa wazee wa 4WD lakini Europe mmh
Preta sema hapa bongo Darisalaama na foleni hizi,unawatafuta watu ubaya
labda nipewe kama ile ya Obama.....hivi inauzwa wapi ile.....?...nataka bullet proof car.......
jeep convertible? sijawahi ona zaidi ya vibanda wazi za kuwindia twiga