The Confession of Benjamin William Mkapa

wawezekaji wanamaana Africa au ulimwenguni?
je TZ inawezekana bila wawezekaji?na kwa vipi?
Nchi gani Africa ipo bila wawezekaji?
au ni jinsi ya ku deal na mikataba ya uwezekaji?
hayo ndo maswali yangu tu
 
wawezekaji wanamaana Africa au ulimwenguni?
je TZ inawezekana bila wawezekaji?na kwa vipi?
Nchi gani Africa ipo bila wawezekaji?
au ni jinsi ya ku deal na mikataba ya uwezekaji?
hayo ndo maswali yangu tu
Sasa na TRL nao ni uwekezaji? Yes tunahitaji wawekezaji ila sio hawa wanaokuja TZ. Hawa wanaweza wakawa na jina lao tofauti. Tatizo ninalofikiria mimi ni hizi jitihada za kutembea ulimwengu mzima kuwaita waje.Wawekezaji wakiuliza wakajua kuna umeme wa ration wanaishia huko huko.Matapeli wanajua pale ndo pakutengenezea pesa.
 
Wangapi humu tukikosea tunakiri makosa yetu? Ninachomwomba Ben ayaseme haya kwa WATANZANIA hadharani. Mwalimu alifanya hivo mara kadhaa.Na kuna anachoweza kurudisha mbali na KIWIRA, afanye hivo.
 
wawezekaji wanamaana Africa au ulimwenguni?
je TZ inawezekana bila wawezekaji?na kwa vipi?
Nchi gani Africa ipo bila wawezekaji?
au ni jinsi ya ku deal na mikataba ya uwezekaji?
hayo ndo maswali yangu tu

Ukiwa na shamba la mihogo ukadai huwezi kulihudumia, halafu ukaleta mwekezaji awekeze! Akivuna mihogo 100 anakuachia mihogo 3 tu! Mihogo 97 inapelekwa nje ya nchi na wewe unaachiwa mitatu tu! Hata mihogo hiyo 97 mkodishaji wa shamba hafuatilii kama kweli idadi ni hiyo! Anamsikiliza mwekezaji zaidi na anamwamini kwa 100%! Huo ndio uwekezaji katika sekta ya madini Tanzania! Kama mambo ndio hayo kuhusu uwekezaji kuna haja ya kuwa nao?
 
You can not get viable economic development by depending on advices of world bank and IMF, these are for the interests of USA, UK, etc.
 
Wangapi humu tukikosea tunakiri makosa yetu? Ninachomwomba Ben ayaseme haya kwa WATANZANIA hadharani. Mwalimu alifanya hivo mara kadhaa.Na kuna anachoweza kurudisha mbali na KIWIRA, afanye hivo.
Na huo ndio uungwana. Makosa yaliyofanyika ni makubwa na yanatia aibu. Dawa sio kutumia watu kumsafisha. Ni yeye mwenyewe kuamua kusema nilikosea na kurudisha yale yanayoweza kurudi.Kuchelewa ndo kunamfanya awe prone wa discussions and revelations za mambo mabaya zisizo isha
 
Too late for Mkapa to catch which train? Mkapa ain't poor, and he ain't missed no train either...
Akili ndogo..na ushabiki...grow up dude..Mkapa has already mess up (too late) ..it up to the Nation kusema e bwana kwaheri na pole kwa kuamini wazungu au kum-put into taska kama wenzake kina mgonja...it is up to you and me..acha blah blah zako za kujifanya wazimu...
 
Una maana gani? hakuna mbongo alikuwa anamwambia ana akili lol! isipokuwa hao hao wazungu ndio walimsifia akalewa misifa...too late though..

He he heeee! Eti akajifanya anajua kuliko hata Mwalimu wake Nyerere ambaye katu hakuwa tayari kuwasikiliza IMF na WB ila aliangalia hali halisi ya nchi na kutoa maamuzi juu ya kipi bora kwa nchi yake aliyoipenda na aliyoitumikia kwa moyo wote. Akampuuza Mwalimu wake pale alipomwambia asiuze NBC yeye akaona Makaburu ndio watu wa kuwauzia. Kiko wapi?

Sasa hivi hata kutokea hadharani ni kazi! Shame on him!
 
wawezekaji wanamaana Africa au ulimwenguni?
je TZ inawezekana bila wawezekaji?na kwa vipi?
Nchi gani Africa ipo bila wawezekaji?
au ni jinsi ya ku deal na mikataba ya uwezekaji?
hayo ndo maswali yangu tu

Naamini wawekezaji ni muhimu sana katika kujenga uchumi imara kwenye nchi hohehahe kama zetu. Hata hivyo kwetu sisi tumekuwa na tatizo la tafsiri kuhusiana na mambo muhimu. Wakati mwengine kwa makusudi na wakati mwengine tunaponzwa na ulimbukeni.

Tulipoambiwa tunahitaji uwekezaji sisi tukakimbilia uchukuaji hivyo tukapata wachukuaji.Tulipoambiwa tunahitaji ujasiriamali sisi tukakimbilia ujasiri wa kupora na kukusanya mali hivyo tukapata mafisadi.Sasa tunaambiwa kilimo kwanza tusishangae tunapoona tunakimbilia uporaji ardhi.....

Hatutaki kuumiza vichwa tukapata taswira kamili kwa mapana yake tunaposhughulikia maswala muhimu kwa taifa letu

omarilyas
 
Akili ndogo..na ushabiki...grow up dude..Mkapa has already mess up (too late) ..it up to the Nation kusema e bwana kwaheri na pole kwa kuamini wazungu au kum-put into taska kama wenzake kina mgonja...it is up to you and me..acha blah blah zako za kujifanya wazimu...

Ni bora tu ungeandika kiarabu mkuu.... hii ni beyond your level
 
Mkapa is the most useless presidents in Tanzanian history...he was too earger to please wazungu to listen to his own people. To be assisting Tony Blair was enough incentive for him to nearly sell the whole of Tanzania, thanks to the presidential term limit! I am ashamed of being born in the same country Mkapa was born , ptu!
 
The IMF and the issue of CONDITIONALITY as Professor Stiglitz put it.. Ndio kitu kinachotumaliza. Mwishoe BWM akaona sasa kama nchi haiokoleki bora ajitoe mwenyewe.lol
 
Naamini wawekezaji ni muhimu sana katika kujenga uchumi imara kwenye nchi hohehahe kama zetu. Hata hivyo kwetu sisi tumekuwa na tatizo la tafsiri kuhusiana na mambo muhimu. Wakati mwengine kwa makusudi na wakati mwengine tunaponzwa na ulimbukeni.

Tulipoambiwa tunahitaji uwekezaji sisi tukakimbilia uchukuaji hivyo tukapata wachukuaji.Tulipoambiwa tunahitaji ujasiriamali sisi tukakimbilia ujasiri wa kupora na kukusanya mali hivyo tukapata mafisadi.Sasa tunaambiwa kilimo kwanza tusishangae tunapoona tunakimbilia uporaji ardhi.....

Hatutaki kuumiza vichwa tukapata taswira kamili kwa mapana yake tunaposhughulikia maswala muhimu kwa taifa letu

omarilyas
Mkuu haujajibu swali au maswali yangu, pamoja umewekewa THANKS na wenzako
Tanzania bila uwezekaji inawezekana?kama inawezekana kivipi?
ila nikiangalia nchi nyingi za Africa including South Africa kuna mikataba mibov mibov mibov balaaa
Botswana ndo kidogo walikua wajanja labda baada ya kuona wenzao wanavyo umia.
 
Na mimi nitakujibu kwa swali.... nchi kama Norway, Sweden wawekezaji walitoka wapi?
 
Wajinga wa kiarabu kama wewe wasingeelewa...so kajifunze kwanza kiarabu..ndio ntakuandikia..au nitaiweka hapa JF

Kwa nini nijifunze kiarabu? waarabu wameifanyia nini dunia karibuni (zaidi ya kusambaza suicide bombers)?

Bado narudia ushauri wangu kwako - kasome kwanza lugha ya makafiri wa kizungu uielewe vyema kabla hujaanza kuitumia
 
Back
Top Bottom