herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,962
- 3,189
Hv ule msemo wa kila nabii na zama zake unaweza ukawa unafanya kazi hata kwa wazungu..?
nmekuwa nikifuatilia sana mziki wa hawa jamaa (westlife) tokea siku nimewajua mpaka sasa hawajawai nikinai kiukweli hawa jamaa wako vizuri kuliko hata uzuri wenyewe kila nnapowasikiliza kwa aina mziki wanaoimba nataman mda wote niwe nawasikiliza wao vbao vyao mbalimbali walivyo vitoa hata miaka kumi iliyopita mpaka sasa bado vinazidi kutamba na vitazidi kutamba mpaka dunia hii itakapo vika mwisho wake kwa vizazi na vizazi
Kinachonishangaza westlife wameachia nyimbo mpya ni nzuri kama kawaida yao ila mapokezi yake bado cjaona kama wamepewa uzito huo kama mzikiwao ulivyo kuna nyimbo kama better man nanyinginezo japo dioni kama watu wanazipa sikio hilo
nnachojiuliza je ni kwa nn mapokeo yao yamekuwa hv au wakati wao ushapita au la...?