The comeback of West life

Bora waache tu. Wataaribu hadi tutaanza kuzichukia zile nyimbo zao. Wale jamaa wana nyimbo hazichuji.

Kuna wimbo (sijui wao au waliimba cover) unaitwa “You are Beautiful in White” aisee yale maneno yalipangwa.
 
Jiwe la Filan Shane ni yake kabisa,Westlife wapo vizuri mno!na kamwe mashabiki wa kweli hatuwezi kuzichukia nyimbo zao.
 
Wanatakiwa waimbe matusi haswa ndipo wapokelewe vema na Wa TZ bila hivyo watasubiri sana.
 
Nakumbuka ngoma zao kama #solidar,#my love #queen of my heart jaman hawa jamaaa walifanya niwe bingwa #mapenzi maan ngoma zao zilintia moyo sana
 
Chris brown mwenyewe anachechemea saiz. Hizi si zile zama...

Tuna mziki wetu siku hizi.
 
one direction walikuja wakachukua nafasi yao, nao pia wakapotea! sasa hivi hawa wanajitahidi kurudi lakini kamwe hawawezi kuwa kama hapo awali.

Fool again waliipa warrant ya miaka 70 kuwa ndio itapotea maskioni mwa watu.
m
 
Nakumbuka ngoma zao kama #solidar,#my love #queen of my heart jaman hawa jamaaa walifanya niwe bingwa #mapenzi maan ngoma zao zilintia moyo sana
itafute better man, open your heart, somebody love you utaipenda pia
 
Asiye na marinda hayupo mkuu.

Wamebaki wanne. Ila bado me naona hawawezi imba kama zamani nyimbo inaingia haswa kunako moyo.

Kama soledad, fool again.
Yupo mkuu maana yule aliyeondoka ana marinda ambaye ni (Brian)waliobaki kuna mmoja hana (Mark) huyu aliolewaga kabisa but Nick, Shane na Kian wanayo.
 
Back
Top Bottom