"The City" ya AzamTV

"The City" ya AzamTV

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,571
Reaction score
16,358
Kiukweli mimi sikuwa mfuatiliji sana wa hizi tamthilia ila hii tamthilia imenifanya nisikose kutizama TV saa tatu usiku.

Na aliyeweka sauti ya mzee Aga ndio kafanya niipende zaidi maana anampatia sana (namsalimu popote alipo aliyeweka sauti kwa huyu mzee).

Nashauri kuwepo na lafudhi za kilocal kama yule msukuma wa kwenye tamthilia ya Victoria, hapo mnaweza kutupia lafudhi kama kichaga, hehe, makonde n.k.

Nawasilisha.
 
Naomba kujua juu ya "remote " ya azam TV, kimeharibika, nimenunua kipya hakifanyi kazi nifanyeje??
 
Kiukweli mimi sikuwa mfuatiliji sana wa hizi tamthilia ila hii tamthilia imenifanya nisikose kutizama TV saa tatu usiku.

Na aliyeweka sauti ya mzee Aga ndio kafanya niipende zaidi maana anampatia sana (namsalimu popote alipo aliyeweka sauti kwa huyu mzee).

Nashauri kuwepo na lafudhi za kilocal kama yule msukuma wa kwenye tamthilia ya Victoria, hapo mnaweza kutupia lafudhi kama kichaga, hehe, makonde n.k.

Nawasilisha.
huyo alieweka sauti ya Aga Karacay ni sumaku wa kwenye mizengwe
 
Nauliza! Vile vituo vya kurekebisha ving ' amuzi mnacharge pesa? Mlitangaza ni bure ila kuna sehemu nimeambiwa 10000 ,
 
Kuna jamaa anaweka lafudhi ya kubana pua
Anaboa mno ....Yule jamaa aliempa mwenzie deal la kusafirisha kifurushi kumbe kuna madawa...anaharibu kabisa hiyo tamthilia
ni kweli hata kama ni kubana pua sio vile bora hata scene yake ilishaisha
 
Mwenyewe sikufatilia hii nikachek some how aisee nimeanza kusaka kwenye library niipate yote YouTube Kule lugha ya ki turuki inanishnda ingekua ya kingereza au INA subtitle ingekua fresh sana nilichogundua awa jamaa wa turuki wana tamthilia nzuri sana ila azipo world wide azam wametufungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom