The Citizen: Doctors’ report awaited to airlift Tundu Lissu to the US

Hiii nayo habali ya kushangaza mmekoswa kazi za kufanya chapeni KAZI kila siku lisu lisu lisu lisu, msaliti Wa taifa letu fanyen kazi zingine
Mpuuzi wewe njaa itakuua ungali bado kijana! Una utaifa gani wewe usiyeijua hata lugha yake? Huoni aibu mrundi wewe kuwaita wazawa wasaliti?
Ni yupi msaliti kati ya ccm na cdm? Jiandae kurudi kwenu 2020!
 
Umbea ukizidi maarifa kichwani zero, hakuna anaefurahia tukio LA lisu kupigwa mishale ya moto, lakini sio kila Mara lisu lisu lisu, mfano kesho lisu tumbo likimuuma utaandika threads kuwa Leo lisu anaharisha, Leo lisu kapata nguvu kampanda mke wake, Leo lisu kaweza kujampa, Leo lisu anaenda marekani kuwekewa bandeji, haha haha haha, akili zenu ziliazimwa na alieazima kaishafaliki
Nasikia siku hizi baadhi ya wanaume mnamiliki nembe,maake sio kuwashwa huko!
 
Hiii nayo habali ya kushangaza mmekoswa kazi za kufanya chapeni KAZI kila siku lisu lisu lisu lisu, msaliti Wa taifa letu fanyen kazi zingine
Acha roho mbaya,wasahhili wana msemo wao "kibaya chako ni kizuri cha mwenzako",kama humpendi huyu jamaa anaeitwa Lisu kaa kimya,waachie wanaempenda wahangaike nae
 
Hiii nayo habali ya kushangaza mmekoswa kazi za kufanya chapeni KAZI kila siku lisu lisu lisu lisu, msaliti Wa taifa letu fanyen kazi zingine
Nai kamuhukumu usaliti na kupma adhabu. Alitetea watu na madini ya nchi hadi kufunguliwa mashitaka nadhani wengine umu jamvini wakiwa bado na chupa za Totolac mkononi.
 
Umbea ukizidi maarifa kichwani zero, hakuna anaefurahia tukio LA lisu kupigwa mishale ya moto, lakini sio kila Mara lisu lisu lisu, mfano kesho lisu tumbo likimuuma utaandika threads kuwa Leo lisu anaharisha, Leo lisu kapata nguvu kampanda mke wake, Leo lisu kaweza kujampa, Leo lisu anaenda marekani kuwekewa bandeji, haha haha haha, akili zenu ziliazimwa na alieazima kaishafaliki
Haya ni majibu ya albadir hivyo msishangae hapo! Albadir imeanza kufanyakazi tuliyoitarajia na wendawazimu kama huyu aliyeazimwa kutoka burundi amevuna alichopanda. Na bado mtajibeba safari hii ilihali sisi tinahaika na Lissu wetu apone.
 
pic+lissu.jpg

Dar es Salaam. Doctors at the Nairobi Hospital will determine whether Singida east Member of Parliament Mr Tundu Lissu is stable enough to be transferred to the United States (US) for treatment.

Singida North Member of Parliament Mr Lazaro Nyalandu, who flew to Nairobi on Tuesday, revealed this through his Facebook page.

“It is the third day that we are waiting for Mr Lissu’s medical report from doctors ta Nairobi hospital…we need the report so that we can share with specialists in the US to determine whether Mr Lissu is strong enough to be flown to the US,” wrote Mr Nyalandu.

Mr Lissu was flown to the Nairobi hospital after being briefly admitted to Dodoma Hospital as he sustained gun wounds that left him fighting for his life.

Lissu shot in assassination bid

Mr Lissu was shot several times by unidentified assailants in his stomach and legs.

After Mr Lissu was assaulted, Chadema well-wishers started raising funds to facilitate his treatment.

Chadema plans to raise $50,000 (about Sh111.25 million) for the purpose. So far total of $47,547 (Sh106 million) has been raised
Asante kwa taarifa,,
 
Jpm kawakamata sasa mmeona inshu ya lisu ndo Sera ya chadema, mmekwisha
Mjinga wewe jitambue! Kujikomba huko kunakuingizia kiasi gani? Kwa taarifa tu, hapo ulipo wamejishika uchawi kwani albadir imejibu.
 
Hiii nayo habali ya kushangaza mmekoswa kazi za kufanya chapeni KAZI kila siku lisu lisu lisu lisu, msaliti Wa taifa letu fanyen kazi zingine

we umefuata ?? huku kama ihusiki na Lisu piga kimya
 
Haha haha, albadirl uchawi mi natembea na yesu sina upumbavu huo, wazen mambo mapya kama vijana sio siasa za kijinga hazitufikishi popote
 
Back
Top Bottom