Kumpata Mr. Right now ni ngumu sana sana. Cha msingi wkt ukifika km unania ya kuishi kwenye ndoa kweli, Usiangalie pesa wala sura we angalia tabia. Km mtu tabia yake inakuvutia, anajituma kimaisha cent ya chakula inapatikana basi vulia maji nguo uoge. Uzuri wa wanawake they can Learn how to love sio km wanaume