The Boss

Enzi hizo "duka la mzungu li wazi, mama kaliona kacheka baba kaliona...," utoto raha sana.
 
Dogo naona kaweka bunduki zote hadharani, yatakuwa mazoezi ya kijeshi hayo. Anaonyesha silaha zake, asipopiga kwa hio atatumia biological weapon
 
Mmmhhhh! Ila kenyewe kanaona sawa.

Hata habari hakapati.
 
Nilijua kifaranga cha kuku kinatoka nje kupata chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…