THE BOOK OF THE DEAD; Chanzo na mwanzo wa kila tunachokifahamu kuhusu imani mbalimbali ulimwenguni

Hahaaaa! Che mittoga nikuondoe shaka mi si mshirikina au mwanga ila katika ufahamu wangu sijajipa mipaka ya kujua, huo unaouhita ushirikina kwangu ni kipengele fulani tu cha maarifa ya ziada ambayo hayajawa wazi kwa kila mtu hivyo mimi daima sioni kama ni hatari wala jambo la kuogofya mtu kujua maarifa yanayoitwa ushirikina ilimradi kuna utashi wa kujua lipi lakufanya na lipi si lakufanya.

Akili ya binadamu ni mashine kubwa mno kiutendaji kiasi haina mipaka ila limitations ufanywa nasi binadamu wenyewe kwa kujijengea hofu na ni sisi ndiyo tunaoruhusu wenyewe uchawi au ushetani uwepo kwa kuuficha uvunguni na kuufanya sirini na wakipatikana watu tunaotaka mambo yote yawe wazi kila mtu atakaye hajue basi tunaonekana washirikina.

Swali ni Je wafikiri bila kusapoti uSIRI, uchawi au ushirikina utakuwepo hapa duniani?

Na hata ukiwepo unaisi utakuwa na madhara gani kwa binadamu ukilinganisha na sasa?
Hata mimi najua wewe sio Mshirikina.
Ila hivyo vitabu ukivisoma vina mvuto wa kutaka kujua zaidi hayo Maarifa.
Kwa wengine wanaweza kuzama kabisa na kuupenda Ushirikina.

Ila wewe najua unasoma ili kupata Maarifa mageni.

Kuwa makini Kijana unaweza ukanogewa mara ukaanza kujifunza Kuagua na Kuroga watu ili upige Pesa.
 
JICHO LA TATU NDIO NINI? LIKOJE? LIKO WAPI?
Ni lugha ya picha tunayotumia kuelezea uwezo wa mtu kuona,kuhisi,kusikia au kuwa na nuru ya mwangaza wa kiroho pasipo kuhusisha macho yake mawili yakifizikia bali fahamu zake tu.

Ni hali inayofikiwa na watu ambao wamejaaliwa kuwa na karama hiyo, waliojifunza kuwa hivyo au wafuatiliaji na watafiti wa mambo yaliyofichika.

Hivyo hakuna mahali katika ubongo au kichwa cha mtu kuna jicho la tatu bali fahamu za mtu zikipevuka katika uelekeo huo wa kiroho umfanya aweze kuwa na ufahamu wa ziada usiyo wa kawaida kuhusu mazingira yanayomzunguka yawe yanayoonekana na yale yasiyoonekana.
 
MATHAYO 5:11-12

[11]Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.

[12]Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.
Hapa tu ndipo wakristu wengi tunapo feli. Hatuwezi tetea tunachokiamin kila wanapokuja watu na hoja zao sisi tunajivika vazi la udhaifu na unyonge kitu ambacho Yesu mwenyewe hakuwa kukifanya.
 
Ni lugha ya picha tunayotumia kuelezea uwezo wa mtu kuona,kuhisi,kusikia au kuwa na nuru ya mwangaza wa kiroho pasipo kuhusisha macho yake mawili yakifizikia bali fahamu zake tu.

Ni hali inayofikiwa na watu ambao wamejaaliwa kuwa na karama hiyo, waliojifunza kuwa hivyo au wafuatiliaji na watafiti wa mambo yaliyofichika.

Hivyo hakuna mahali katika ubongo au kichwa cha mtu kuna jicho la tatu bali fahamu za mtu zikipevuka katika uelekeo huo wa kiroho umfanya aweze kuwa na ufahamu wa ziada usiyo wa kawaida kuhusu mazingira yanayomzunguka yawe yanayoonekana na yale yasiyoonekana.
SO KUMBE IT IS A LEARNED PROCESS
 
SO KUMBE IT IS A LEARNED PROCESS
Ndiyo, Mara nyingi ufikiwa kwa mtu kujifunza kwa nia thabiti akitaka hiyo spiritual awakening yakufungua huo mlango mwingine wa fahamu, ndiyo maana kupata uwezo huu wengine uamua kupractise meditation au kupitia mafunzo maalumu katika temple za kibuddha, Masonic temple,vilinge vya uchawi n.k,

Japo wapo wasioitaji vyote hivi katika kujifunza bali kwao huwa kama package waliopewa na muumba wao inayokuwa active tokea kuzaliwa kwao ila ni wachache mno katika dunia hii tuishiyo, wengi wetu jicho la tatu(uwezo huu inaaminika kuwepo ndani ya kila mmoja wetu ila unakuwa inactivated) upatikana kwa kujifunza kuuzindua ufanye kazi.
 
Nimekua nikifuatilia sana kuhusu ancient Egyptian history moja kati ya mijadala niliyokutana nayo ni kuhusu ni akina nani walikua wamisri wa kale kutokana na evidence zilizopo kuanzia misri yenyewe ya sasa hivi kwenye sanamu walizoziacha moja wapo ikiwa ni sphinx na statue mbali mbali ambazo zipo kwenye museums mbali mbali ndani na nje ya misri zinaonyesha wazi kua wamisri wa kwanza walikua ni weusi. ndani yake pia huzungumziwa kitabu hiki cha the book of dead inavyoonekana ni kwamba waliotangulia kuisambaza historia ya misri ya kale waliipindisha historia hiyo kwa makusudi ya kujinufaisha wao kibaya zaidi inaonekana wao ndio walioshikilia mifumo yote ya kielimu,kiutawala na kidini kwamba wao ndio wameamua kipi kitumike kipi kisitumike kwa hiyo usitarajie kuona majority wakikubaliana na wewe unless awe mtu anayependa kujifunza vitu nje ya mipaka kwa kua wengi tunaishi kwa kuamini kuwa kile tulichojifunza mahali fulani ndio sahihi badala ya kuvichukua vyote kisha tuvichuje na kuvipima kwa utashi wetu wenyewe kujua kipi ni kweli na kipi ni fake
 
Ukweli ni kwamba toka enzi za wakina enoko ma ibrahimu imani ya Mungu wa kweli ilikuwepo. Imani hizo za mashetani zilikuja baada ya anguko la shetani lusifa na hao malaika kuasi na kuja kuwafundisha binadamu elimu ya uongo. Kuna tofauti kubwa sana ukisoma hivyo vitabu vya mashetani na ukisoma biblia. Ukisoma biblia lazima amani itatawala ndani yako pia na utaisi kabisa unaongea na Mungu halisi. Sasa ukisoma hivyo vitabu vingine kwanza hofu na mashaka zitakutawala ndani yako pia vinabadilisha ubinadamu na kukuweka kwenye hali isiyo ya kawaida ndomana mwisho wake lazima uje kua mwabudu mashetani na kua mpingamizi wa Mungu. Iyo ni kweli wausika watakua wameelewa
Kaiyo biblia ndio kitabu unacho kiona kimetakasika??? Unachekesha
 
Hahahaaa! Enyi kizazi cha nyoka wajukuu wa Mafarisayo, mnaomkiri Mungu kwa maneno matupu ila kamwe hamuwezi kumtetea/kujisimamia au kumdhihirisha mbele ya watesi wake.

Kipi mwahisi sasa ni kipimo sahihi cha imani yenu kwake au ni kulaani,kukemea, kukwepa hoja na kuwapa vitisho wanaotaka kumfahamu Mungu wenu na habari zake.

Je mwastahili rehema na huruma yake yeye hawapae hiyo pumzi? Kwa maana imeandikwa yeyote atakaye nikana kutonijua mbele za watu nami ntakana kumjua mbele za Baba na si kila atakayeliita jina langu ana ushirika na mimi.

Sasa kama huwezi kuitetea au kuielezea Biblia kwa mapana yake nakuonesha hamna kasoro inavyodhaniwa mbele ya wanaJF huo ukristo unajivika wa kazi gani?
Bonge la swali
 
Back
Top Bottom