The bold: Kuhusu Mtoto wa Flora

Status
Not open for further replies.
hii inaitwa "nitoke vipi 2015".hovyo kabisa.
 
Wtf!get life dude,yaani sisi tukae tunasubiri kujadili uzinzi wenu.?
 

Sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kuposti?
 
just put yourself in their shoes,ungependa na wewe...lijitu lisambaze ukuda on your bitter divorce?:shocked:
 
Unajitafutia umaarufu tu Mr wewe sio mbasha wala nn...... Watakuamini wajinga wenzako
 
....na wewe ni nani katika hiyo hekaya?
 
Hauna lolote ; Kwani ungekuwa nalo ungeweka hapa hata kwa ID nyingine
Labda wajinga tu ndo watakuamini tena !!
Wewe endelea na uzinzi na kale kabinti ka chuo ulikosema umejificha nako!!
 
Bora ungeendelea kukaa kimya.!
 
Ila mkuu maswala ya sheria na JF wapi na wapi hili ni jukwaa huru tiririka kadiri uwezavyo
 
The Bold Hebu Shusha Nondo Ndugu Yangu Tufaidike,hili Ni Jukwaa Huru Hakuna Wa Kukuhoji,achana Na Wajingajinga Kama rosemarie Kama Aliona Si Sehemu Ya Maana Kilichompa Nyege Hadi Akaamua Kufungua Na Kusoma Ni Nini? Leta Mambo Hapa Wala Usiogope,humu Hata Jambo Likiwa Mahakamani Huwa Linaandikwa Tu.
 
Usihangaike Na Hao,hao Ni Team Flora Mliwa Tigo,shenz Zao Wamekuwa Wakimkejeli Mungu Kwa Kujifanya Walokole Kumbe Ni Mbwa Mwitu,huyu Flora Hovyo Kabisa.

Haaaaaaa wiseboy umeua mtu wangu haaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mnanifuraisha kwa kweli hivi ule wimbo wenu wa ADUI YAKO NDIE RAFIKI YAKO mbona hajauzingatia?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…