“The birds will be flying high tomorrow”

: “The birds will be flying high tomorrow.”

Caesar cipher seems to be used more than
Vigenère cipher


Continue Steganographying between RM and JK

Britanicca
Those who are conversant with Ciphertext will have the message.
 
Mlisema hatogombea,anagombea,mlisema July-septembee,sasa mmepeleka baada ya kushinda uchaguzi
Halafu yote haya yanatoka wapi ya kutaka mama asimalizie awamu ya pili?..kosa lake nini?
Kwa mtu mwenye akili mbovu kama zako, najuwa unaona kila kitu kipo sawa na unasherehekea usyang'anyi. Sasa unataka nianze mjadala kweli na aina hii ya akili?
 

Bila chatgpt sitoboi kwa hizi ngeli
 
Baba aliniambia nisome, nikaone kuwinda tetere ni bora zaidi. Ona sasa leo hii nimeishia kuambulia JK tu.
Nitakutafsria inbox, Casar Cipher ni mfumo wa Kijasusi uliotumika na Casar Julius, Mkuu wa Dola ya Warumi kutuma ujumbe wa kijasusi kwa makamanda wa Jeshi na Majasusi vitani huko mbali kwa kutumia namba, wewe unapewa namba wahuni mpangilio wa namba wanasoma maandishi kama unavyosoma ujumbe wangu huu. Hizi ni code ambazo mnakuwa mmekubaliana nikisema Nne, means Ngurukia etc.
 
Those who are conversant with Ciphertext will have the message.
I highly doubt if there's any substantive message there! Follow what was given later as some plain language interpretation. You will see it's all mumble jumble too.
 
Hakika Mkuu, kuna mijitu imesomeshwa na hela za umma leo yanauza rasilimali za Taifa kuliko maelezo....hao ndio walikuwa wanawasema vibaya machifu ambao tuliwasoma kwenye historia wakibadilishana dhahabu kwa shanga, bora wale hawakujua thamani ya madini!
 
Kwa mtu mwenye akili mbovu kama zako, najuwa unaona kila kitu kipo sawa na unasherehekea usyang'anyi. Sasa unataka nianze mjadala kweli na aina hii ya akili?
Jibu nilichouliza,acha kujifanya una akili sana wakati sivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…