The best

Mtoto analishwa tu ataanza lini kutafuta?
 
Ukiondoa akina Pele na Maradona ambao tumesimuliwa ukali wao, kwangu mimi Leo Messi ndie mchezaji bora zaidi ambaye nimemshuhudia kwa macho yangu.
 
Ukiondoa akina Pele na Maradona ambao tumesimuliwa ukali wao, kwangu mimi Leo Messi ndie mchezaji bora zaidi ambaye nimemshuhudia kwa macho yangu.
Ukitaka kuujua ubora wake mpeleke stoke city uingereza na akaendelee kung'ara ivo ivo.CR7 ndo mchezaji complete zaidi niliyepata kumuona kwa macho yangu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…