Mkuu kuna watu walikazana IPhone na number 1 nimewaletea hyo mada wajisomee.... nimepitia specs za hzo simu yaani IPhone X ana haki ya kuwa namba 4Ingawa mimi sio mpenzi wa samsung ila kwa hii design ya infinity display hakika atakayebisha juu ya hii samsung S8 atakuwa chizi.
Huku ikitumia super Amoled display inaifanya simu hii iwe bora zaidi
Natamani nokia nao wangekuja na camera za pureview technology wamalize ushindani
A5 2017 ni nzuri but price yake ni far better ukachukua flagship za samsung kama S5..S6 edge au 7 maana hizo zipo juu kupita hyo A5 2017 na price zinalinganaHivi Mkuu Lusungo Ukiacha S8, kuna hii Simu nyingine toka kampuni ya Samsung ambayo ni Galaxy A5(2017) ninayoona kama ni nzuri hasa Ukizingatia pia na suala la gharama....... vipi Unaweza Kunikomentia vipi Kuhusu hii Simu?
Maoni yako tafadhali Mkuu!
Nimenunua A7 ya 2017, so far naona ipo poa tu.A5 2017 ni nzuri but price yake ni far better ukachukua flagship za samsung kama S5..S6 edge au 7 maana hizo zipo juu kupita hyo A5 2017 na price zinalingana
Yeah ni nzuri.Ingawa naamini brand fulani ya simu ni mapenzi ya mtu..bila kusahau uchumi wake...
Ila samsung ni chaguo langu..
1. Camera zake
2. Screen
3. Size.. ya simu nyingi za S Samsung ni moderate ila iphones za nyuma ni ndogo ndogo... zimenilevya..
lusungo huo mtandao ndiyo walisema Samsung and Iphone are the Pepsi and coke.
Mi naonaga price ya A series ni bora zaidi ukajiongeza kwenye S series....Nimenunua A7 ya 2017, so far naona ipo poa tu.
Battery life inakaa zaidi ya masaa 18 hadi 20 ambayo sio mbaya.
Japo iphone siiachi.
Ok Asante Mkuu kwa Mawazo yako.... S5/6 naona kama zimeanza kupitwa hiviA5 2017 ni nzuri but price yake ni far better ukachukua flagship za samsung kama S5..S6 edge au 7 maana hizo zipo juu kupita hyo A5 2017 na price zinalingana
Mkuu hili neno "flagship" unaweza lifafanua kidogo naona umeniacha....Mi naonaga price ya A series ni bora zaidi ukajiongeza kwenye S series....
A7 ya 2017 ni nzuri pia japo sio flagship
hizo zote tatu ni high end phones na zote ziko vizuri kwa upande wa specs...ila kilichonifanya kuiweka lg v30 kuwa ya kwanza ni jinsi walivyoweza kuoptimize matumizi yake ya battery...ukichunguza video nyingi zinazo onesha battery drainage comparisons kati ya hizo simu hapo juu lg v30 imekuwa ikishika no 1...Mkuu umetumia vigezo vipii
Asante mkuu umefafanua vyema leo baada ya kuupitia huo mtandao ndo nimejua mengi ambayo humu tunawekaga ushabiki mbele....hizo zote tatu ni high end phones na zote ziko vizuri kwa upande wa specs...ila kilichonifanya kuiweka lg v30 kuwa ya kwanza ni jinsi walivyoweza kuoptimize matumizi yake ya battery...ukichunguza video nyingi zinazo onesha battery drainage comparisons kati ya hizo simu hapo juu lg v30 imekuwa ikishika no 1...
S8 nimeiweka ya pili kwasababu ya designing yake plus specs ,ijapokuwa kwa specs hawajaachana na v30..designing iliyonivutia ni jinsi walivyoweza kuzipunguza zile bezels bila kualter performance yake.
google pixel 2 XL nimeiweka ya tatu kwa ajili ya camera , S8 iko poa kwenye camera ila kwa selfie hamgusi huyu jamaa. (waweza fuatilia comparisons zilizoko mtandaoni ujionee hizo picha zilizopigwa na hizi simu)...
ONE plus 5T nimeikubali cuz haiko kwenye makundi ya price ya hizo simu tatu nilizozitaja hapo juu ila inakupa specs na performance karibia na hizo hapo juu naweza sema kwa asilimia 88% - 94% ....hata pia nashangaa kwanini mtu anachanganyikiwa na iphone X wakati hata huyu ONE PLUS 5T anaweza kupa performance nzuri kuliko iphone X ....
binafsi naona ni kejeli kufananisha (S8 , google pixel 2 au lg v30) na iphone X
mtazamo tu , sio sheria.