Vipi, ulikuwa unachukua kozi ya kutongoza nini?...Ni maneno gani, au majibizano gani yaliyo ku impress kwenye movie, ambayo uliangalia then ukarudishia usikilize tena?
mimi kuna hii: "what ar u gonna do?"...jibu: "my job."
then hii ...".is this a joke?" jibu" am I laughing?"
.....anamkiss.......''.I'm married''....jibu..."get out"
..."you are a lost soul if you have nothing to believe in "....jibu..." I believe in myself"
je wewe ni majibizano/maneno/line gani imekuimpress zaidi?...
cjakuelewa
Vipi, ulikuwa unachukua kozi ya kutongoza nini?...
Nilipenda mahojiano ya larry king na Aladeen kwenye THE DICTATOR alipokua anakwepa swali la nuclear weapon, plus lafidhi ya kiingereza cha kiarabu
Larry King: "All right, let's get right to it.
Do you have nuclear weapons?"
General Aladeen: "What was the
question?"
Larry King: "Do you have nuclear weapons?"
General Aladeen: "Sorry, I can't hear
you."
Larry King: "Are you developing nuclear
weapons?"
General Aladeen: "No, I literally can't hear you."
Larry King: "I'm going to another
question."
General Aladeen: "Oh, I can hear you now