The beginning

The beginning

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

ae82af975f24bdabad0bf23f77c03284
 
kwa hio alivyoshika jamaa aka react na ndio mwanzo wa wanaume kupenda hii makitu??
nauliza tu.
 
walikuwa wazungu?
mbona wao wazungu ndio wamepewa akili sisi black tukawekwa bara la giza?
 
Mhh! Huyu nyoka mbona anamnyemelea hawa sasa!
 
Than means, Eva/ Hawa hakumuelewa nyoka alimaanisha nini, nyoka alipomwambia yule mwanamke ale tunda la mti wa katikati alimaanisha ale tunda la mti uliopo katikati ya miguu ya Adam. Ila kwakuwa Eva hakuelewa akaenda kula tunda ambalo lilikuwa la dhambi, ila angekula tunda la kati ya miguu ya Adam (scrotum) ingekuwa duniani ni kula tunda kwa kwenda mbele bila kuwa na dhambi. Sasa hiyo picha hapo juu ndo inaonesha Eva/Hawa alitakujwa kula tunda hilo linaloning'inia kwa chini na si tunda la mti mti.
Its my thought.....
 
Back
Top Bottom