The beauty of JF💪🏿🔥Habari everyone ɪᴛᴀᴋᴀᴀ ᴘᴏᴀ ʜᴀᴘᴀ
new member by the way,
I observed the beauty of JamiiForums, ni jukwaa ambalo linasaidia watu wasiopenda association na vijiwe visivyo na maana in the streets
Any place, room, office, e.t.c you feel you have family
Congrats to the creator🙌
#hope I will be welcomed well
Hata humu wapo hao watu, au unadhani watu wa humu JF wametoka mbinguni?I observed the beauty of JamiiForums, ni jukwaa ambalo linasaidia watu wasiopenda association na vijiwe visivyo na maana in the streets
Karibu sana ila wale unaowakwepa hapo kijiweni ndio wako humu na ndio utakao socialize nao, mada za maana na za hovyo kama ilivyo kijiweni utakutana nazo hapa. Tofauti ya huko mtaani na hapa ni kuwa hutawaona physically ila ni walewaleHabari everyone ɪᴛᴀᴋᴀᴀ ᴘᴏᴀ ʜᴀᴘᴀ
new member by the way,
I observed the beauty of JamiiForums, ni jukwaa ambalo linasaidia watu wasiopenda association na vijiwe visivyo na maana in the streets
Any place, room, office, e.t.c you feel you have family
Congrats to the creator🙌
#hope I will be welcomed well
Humu niliwahi kupata code za kulala na singo maza.Ni ngumu kukuelewa kwa upande mwengine coz nimeshawah nufaika humu
Miaka kadhaa nyuma kuna code nilizipata humu zikawa na mchang. Mkubwa kweny carrier yangu
Vp kuhusu advantage kama hizi?
#coin has two sides
Watu wa jf wapewe maua yao.