Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
Lole,
Kumbe ma history buffs wapo humu ?
You just revived my interest in "Moscow 1941: ACity and it's People at War" which I capped but haven't had the opportunity to scan.
Na strategies zao pia. Zina lessons sana hizi kwetu pia maana kuna vitu unique katika kila event. Tukumbuke strategies zetu zikikaa sawa we will turn things around!Tupo sana tu mkuu,hizi major conflicts zinasaidia sana kuelewa thinking ya mataifa mbali mbali.
Nimefuatilia sana history hizi toka Mkwawa vs von Lettow hadi Okinawa.
Tuko pamoja mkuu
The siege of Leningrad?
Wajua Hitler na makamanda wake walibishana sana kuhusu strategy ya kuivamia USSR.
Wapo waliotaka Wehrmacht isonge moja kwa moja Moscow, ili kuteka mji mkuu, kitovu cha nchi, na wapo waliotaka Wehrmacht iende njia tatu, Jeshi moja Moscow, moja Stalingrad, na moja Leningrad. Hatimaye hii ya pili (ya kugawanyika) ndio iliyokubaliwa.
Vita vyote hivyo, vya Stalingrad, Moscow na Leningrad vilikuwa ni moto mkali. Majeshi hayo makubwa duniani yaliumana vilivyo.
Nitajitahidi mkuu ingawaje nimevisoma muda kidogo, lakini kimojawapoBluray,Lole Gwakisa,Che Guevara,Ndahani,
..kuna vitabu vyovyote vinavyoelezea vita hii ambavyo mna-recommend?
..history buffs tuko wengi jamani.
Bluray,Lole Gwakisa,Che Guevara,Ndahani,
..kuna vitabu vyovyote vinavyoelezea vita hii ambavyo mna-recommend?
..history buffs tuko wengi jamani.
Safi sana mkuu kwa angalizo,sababu za vita kuu ya pili zilianzia katika mambo ya economic spheres of influence na kwa kweli si itikadi au siasa.Mkuu Jokakuu, inabidi kuwa mwangalifu sana kuhusiana na vitabu vya historia, vikiwemo vya kuhusu WWII, kwani waandishi na wanahistoria wa nchi za magharibi wanatia chumvi sana mchango wa nchi zao (Marekani na UK, kwani wanyonge Ufaransa na nchi nyinginezo za Ulaya tayari zilikuwa zinakaliwa na Ujerumani, ilikuwa bado visiwa vya UK na Soviet Union). Italia na Hispania zilikuwa ziko chini ya wafuasi wa Hitler, Benito Mussollini na Fransisco Franco.
Soviet Union ndiyo iliyobeba mzigo mkubwa kwenye vita hii. Ikumbukwe kuwa Ujerumani, Soviet Union na Marekani ndizo zilikuwa nchi wababe.
Inabidi kupata habari/vitabu toka pande zote, east (Soviety Union/Russia) & west (US & Germany). Hapo unaweza kupata kitu kamili.
Si unajua mambo ya misinformation & disinformation?
All in all, this uni-polar world is worse.
Thanks God China is rising. It has now surpassed Germany to become the World's third biggest economy. Next on its sight: Japan, the old enemy.
Bluray,Lole Gwakisa,Che Guevara,Ndahani,
..kuna vitabu vyovyote vinavyoelezea vita hii ambavyo mna-recommend?
..history buffs tuko wengi jamani.
Umenichekesha sana Joka Kuu. Ni kweli, huyu jamaa alikuwa mpenzi mkubwa wa mawazo ya Darwin kuhusu races. na Darwin aliamini kuwa race yetu ni inferior sasa sijui kama tungekuwa na nafasi na Dunia ya Hitler..vyombo vya nchi za magharibi vinaficha mchango wa Soviet Union ktk vita kuu ya pili.
..lakini kama Hitler angeshinda nadhani angetufanya kitu mbaya sana Waafrika.
Ntakujulisha ngoja niangalie.Bluray,Lole Gwakisa,Che Guevara,Ndahani,
..kuna vitabu vyovyote vinavyoelezea vita hii ambavyo mna-recommend?
..history buffs tuko wengi jamani.
MacAthur was also a very brilliant soldier.Alipokuwa Philipines wakati WW2 imepamba moto, priority ya supplies ya mahitaji ya kijeshi ilikuwa imeelekezwa kuikomboa Europe. That made the atlantic pasific american army in philipines to fell in Japanese hands. In Korean peninsula war he used the same tactic of cutting the supply line of North Korean army, by invading and occupy supply routes, mainly some small islands that were used by North.I have a bias towards biographical accounts.
Tafuta William Manchester's "American Caesar: Douglas Macarthur 1880-1964" a biographical opus account on McArthur and his campaigns, including WW2 completely mpaka alivyo fall out na Truman kuhusu kuwawashia moto Wakorea.
dah mkuu nimepata vitu vitamu kupitia mchango wako wa hii post ya mda mrefu kipindi hiko hata jamii forum siifahamu kabisa. Sina uhakika kama bado upo humu ndani (jamii forum)Haswa mkuu,wakati General(wakati huo) Fredierich von Paulus ambaye alikuwa a top notch General anaswaga eastern Europe , magenerali wa Kijerumani walikuwa katika mabishano kuwa nani atakuwa wa kwanza kuiteka Urusi.
Wakati huo jeshi la Urusi lilikuwa a peasant outfit, mizinga ikikokotwa na farasi!!
Leningrad ilifikiwa kiurahisi na karibia itekwe,wajerumani hawakutegmea warusi wapigane kufa na kupona kama wanyama kabisa.
Na hapa ndio tunaweza kujifunza ni vipi jeshi lililo na morali wa kufa mtu linaweza kupigana against all odds.
Kulingana na history ya conflict hii, kabla ya vifaa vizito kuingizwa mjini Leningrad units za watu watano hadi nane zilifanya kazi kubwa with devastating effect.Katika kila unit kulikuwa na a sharp shooter, two machine gunnists,two rocket launcher troops na commander wa unit.
The biggest advantage ya unit hii ni very high mobility na hivyo a high kill rate.
Hata hivyo the biggest coup ni production ya armaments huko Siberia na beyond.
Warusi walipo jipanga vizuri kwa kutumia vifaru vingi sana aina ya T-34 .Adolf Hitler hakuamini masikio yake kuwa wale peasants wa kirusi waangusha kipigo cha mbwa mwizi!
Baridi kali , njaa, uchovu na mipango mibaya ya kivita ni matatizo ya Wajerumani yaliyotumiwa vizuri sana na Majenerali wa Kirusi to their advantage