Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
kwani coffee maker hupunguza nguvu za kiume?? ama umenielewa vby?? mie nimejaribu kumtajia kifaa na kazi yake so ni wajibu wake kuchagua kinachomfaa ama anachokihitaji. hayo ya nguvu za kiume siyajui. manake awe navyo asiwe navyo kama hana hana tu.
Hey hey hey, cool down!
Usisuse jaribu tu kuelewa. Coffee maker - Coffee sio nzuri
Chips Kuku - sumu kwa afya ya mwanaume. Ni hicho tu nilimaanisha.
Hapo kwenye bold sio jibu sahihi. Upungufu wa nguvu za kiume huwa na sababu nyuma yake na kubwa ni saikolojia ikifuatiwa na lishe. Vyakula vingine havifai kwa ustawi wa mwanaume na humpunguza nguvu taratibu bila mwenyewe kujua.
Wanawake wengi hawajui hili, hudhania kumpikia kuku na chips mume ndio kumjali, lkn baada ya muda mwanamke huyo huyo anaanza kushusha shutuma kwa mwanaume kuwa anapafom chini ya kiwango, shutuma ambazo huongeza tatizo badala ya kupunguza. Nilimaanisha hivyo tu
kwa kuongezea :
- bread toaster
- panini maker
- ungo wa kuchambua/kupepeta mchele (he he he)
- banio la ugali
- mpikicho wa kukorogea uji (mfano. unapokuwa unapika ugali)
- kibao cha chapati & msukumio wake,
-plastic containers kuweka vitu mf. maharage, unga, mchele (halafu unaweza kuweka lebo katika kila container)
Zaidi ya yote jikoni panatakiwa pawe safi siku zote ukitoka kupika tu, usafishe vizuri+vitu vyote ulivyotumia...Na hivyo vitu vyote utakavyonunua uvipange vizuri huko jikoni pavutie siyo msongamano..shopping njema!!
King'asti baadhi ya ivo vitu ulivotaja ni mpaka some of my lady friends walipokuja ndo wakaanza kusema lazima niwe navyo kama ungo na banio la ugali...mi nlikua naona sawa kupembua mchele kwenye bakuli au kusonga ugali na kitambaa tu.
Eniwei...ivo vitu vilivotajwa ni vingiiii...mi nnavo vichache na cha muhimu ambacho naenda nunua mwisho wa mwez huu ni microwave...yes yenye grill (thanks JF).
Btw...daz it mean kwamba ukishaoa ivi vitu vingine ndo kushney? Ntauza au??!
Back to ze bed topic:
Najuuuta kununua kitanda cha kuchonga...it is too large, heavy, not beautiful
Jana nlipita maeneo nkakuta vitanda flan jamaniii...lazima niwe nacho aisee...ver simple na bado ni 5*6 kama lile la kwangu geto!
Mashuka ni another challenge...ninapata shida sana kununua mashuka mazur ya cotton apa dar jamani sijui ntapata wapi...meupe ama yenye any shade of blue...yaendane na rangi ya mapazia.
Lol, nikiingia kwa bachelor nikakuta ana hadi ungo na banio la ugali ntastuka aisee. Ntajua nyumba ina mwenyewe na tindikali inaninyemelea.
By the way, tunawatajia tu mavitu hapa ila sijui kama hata nyumba za sinza zina majiko,lol. Haya, na hiyo panini maker ndo nini na mie nikaisake?
Ha ha hapo bolded lazima nyumba iwe na mpangaji tena wa muda mrefu..unatoka mbiooo!!
Hiyo panini maker, ni kifaa cha kutengenezea italian snack(panini) inayokuwa na ingredients kadhaa kutokana na taste yako. Inafanania sandwich hiyo panini.
Nimesahau, non stick sufuria. Very easy to wash.
kuna kitu kinaitwa deep fryer kama mpenzi wa chips/ndizi/mihogo kaanga na nyama za kukaanga. unaweka tu unaset time ukija kuangalia mambo safi
Thanks a lot sister, but kuna kifaa sikijui jina nilikiona uganda nahisi hata bongo kitakuwepo, yaan nilifika sehem mtu akaandaa supu ikaletwa ipo kwenye kitu kama rice cooker na ilikuwa imetoka nzuri kweli, now ndo nimekikumbuka but sikijui jina nashindwa nikakitafute vipi. Kama unafaham jina ya hiyo kitu msaada please. Shuran sana hizo non sticky sufuria hopin kuosha ni rahisi sana, what about kuunga mboga kwa urahisi kifaa gani muhim?
nakubaliana nawe Mrembo, lakini tunatofautiana, kuna watu wanapenda vitu vya ku-deep fry. na kuna vitu uki-deep fry vinakuwa vitamu zaidi ya ku-grillIki kifaa hakitakaa kikanyage kwangu, labda nipewe zawadi, sitaweza kukataa. ndugu zangu jifunzeni kupika with minimum mafuta unless kama unatumia Olive oil.
altenative nzuri ya deep frying ni grilling, yes you can grill some chips na zikatoka powa
nakubaliana nawe Mrembo, lakini tunatofautiana, kuna watu wanapenda vitu vya ku-deep fry. na kuna vitu uki-deep fry vinakuwa vitamu zaidi ya ku-grill
hapo tunamwekea vifaa vyooote tunavyoona vitamrahisishia mapishi yake kama alivyoomba.
umewahi kula samaki wa ku-grill na wa ku-deep fry? hata kama umetumia spices zile zile?mmh sidhani, ila kipenda roho.
unajua ukigrill kwa mfano kama chips, advantage yake unaweza kugrill pamoja na vegetables au vyakula vingine upendavyo kuongeza aroma nzuri kwenye chips zako.
Ngoja nitaleta recipe nzuri hapa ya grilled chips & chicken, ukaijaribu alafu utaniambia.