NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU, WAKUJUE WEWE ULIYE MUNGU WA PEKEE, WA KWELI NA YESU KRISTO ILIYE MTUMA
Ndugu wasomaji,
Leo nitaielezea aya ya Yohana 17: 3 ambayo Waislam wamekuwa wakiitumia mara nyingi sana kudai kuwa eti, Yesu amekana kuwa yeye ni Mungu. Waislam kwa kupitia mihadhara ya kidini na kwa kutumia vijarida mbali mbali wanatishia Umma wa Wakristo kuwa, Yesu ameukana Uungu. Je, hayo madai ya Waislam ni kweli? Je, hiyo aya ina la zaidi la kujifunza?
...Continue Reading HAPA
Salaaalleeeeeeh, kumbe Allah anamjibia Yesu. Huu sasa ni msiba na kulazimishana huku.Link Surat Al-Ma'idah [5:116] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.
Unaona tatizo la kuwa na akili shoto. Wewe umezoa kukaririshwa kwa bakora. Ukiulizwa wapi ilipo Injir ya Yesu, huna jibu zaidi ya kuweweseka tu.
Ukiulizwa nionyeshe wapi ilipo Taurat ya Musa, unabakia kukimbilia Quran kama vile Quran sasa ni Taurat na imekuwa Biblia "mkusnayiko wa Vitabu"
Nimekupa mfano thabit na umeshindwa kupinga zaidi ya kukiri kuwa huwezi biasha ukweli kuwa Obama ni rais na Kikwete ni Rais.
SASA NIONYESHE WAPI ILIPO Injir ya Yesu na wapi ilipo Taurat ya Musa zinazo daiwa kuteremshwa na Allah wako. Sina muda na aya za Quran maana Quran sio Taurat wala Injir wala Mkusanyiko wa Vitabu "Biblia".
Salaaalleeeeeeh, kumbe Allah anamjibia Yesu. Huu sasa ni msiba na kulazimishana huku.
Kumbuka, wanao sema kuwa Maria ni Mungu ni WAISLAM.
Wewe sasa umekuwa John Walker. Unakimbia aya hii na kwenda aya ile na kurukia aya mpaka umekosa mwelekeo.Umekubali yaishe sio?
Naona hutoi majibu , umeamua kupiga dana dana na kupindisha uliyayasema.
Ehee. Mungu alimwita mwenzake Mungu. Hizo ni Miungu ngapi, Ishmael?
Inakupasa uanze kusali kama Yesu.
But Jesus often withdrew to lonely places and prayed.
One day soon afterward Jesus went up on a mountain to pray, and he prayed to God all night.
Going a little farther, he fell with his face to the ground and prayed, "My Father, if it is possible, may this cup be taken from me. Yet not as I will, but as you will."
"But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.Salaaalleeeeeeh, kumbe Allah anamjibia Yesu. Huu sasa ni msiba na kulazimishana huku.
Kumbuka, wanao sema kuwa Maria ni Mungu ni WAISLAM.
Naona sasa unabadilisha mpaka mwandiko. Naam, dawa inakuingia vizuri sana."But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.
Si ajabu unaisoma ayat lakini huielewi.
Yesu anakwambia kuwa Allah anaelewa ya siri na ya dhahiri. Huo ni ukumbusho kwa wewe mwenye kukufuru.
ASILIA MBILI YA YESU KRISTO MUNGU NA BINADAMU
Tokea Dunia ianze, hapajawai toke Mtu yeyote alieishi kama Yesu Kristo. Yesu ni mtu wa maana sana ambaye ni Mwokozi, Mungu katika Mwili Emanueli (Isaya 9:6). Yesu sio Nusu Mungu na Nusu Binadamu kama watu na au imani nyingi zinavyo sema.
Yesu yeye ni Mungu na ni Binadamu kwa wakati mmoja. Kwa maneno mengine, Yesu alikuwa na asilia Mbili tofauti ambazo ni Mungu na Binadamu kwa wakati mmoja. Biblia inasema kuwa, Yesu ni Neno ...
Continue Reading HAPA
Kwa hiyo Yesu alikuwa mtumwa au mjumbe wa Mungu?
Jibu uniondoshee MSIBA.
Miongoni mwa binadamu wa ajabu ni wewe ....Hapa Yesu alikuwa anaomba msaada kutoka kwa nani?
Jesus shouted in a loud voice, saying "Eli Eli lama sabachthani?" which is, "My God, my God, why have you forsaken me?" Mark 15:34.
Je Yesu alijisahau/ alisahau kuwa yeye ni Mungu?
Ndio hutaki kujibu au hujui jibu? Mungu wa Yesu anaitwa vipi kwa Aramaic na Hebrew?
You need to stop using controlled substances.Labda Nonda hujamuelewa Ishmael.
Ana maana kwamba Yesu alikaa akaamua kubuni ulimwengu wenye madhambi halafu akaamua kujituma mwenyewe ili afe kwa ajili ya hayo hayo madhambi ili ishmael na wakiristu wote wafanyao madhambi wapone.
Kabla ya zoezi la Kujiua akaamua kujiomba kwa namna ifuatayo:-
" Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe. Mathayo 26:37.
Lkn Juu ya kujiomba yeye mwenyewe pia akajikatalia kuwa kikombe lzm akinywe!!
Halafu baada ya kujituma kufa, kabla ya kuuawa pale msalabani akaamua kujiomba tena msaada yeye mwenyewe kwa kusema"Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?
Halafu akaamua kutokujisikiliza maombi yake mwenyewe. Akauawa!
And all that make perfect sense!
Kazi ipo kumnusuru huyu kiumbe na adhabu ya Mungu.
Ha ha ha ha, kiongozi, huo ndio Uislam. Jamaa amelama IQ 68.Miongoni mwa binadamu wa ajabu ni wewe ....
Unajisikiaje unapouliza kitu kile kile ambacho kimeshajibiwa tayari tena hapo hapo unapo quote?
Anaeweza kuvumilia ni wewe tu ambae umejiwekeza kwenye ubishi zaidi .....
Kila la kheri .................!!
Miongoni mwa binadamu wa ajabu ni wewe ....
Unajisikiaje unapouliza kitu kile kile ambacho kimeshajibiwa tayari tena hapo hapo unapo quote?
Anaeweza kuvumilia ni wewe tu ambae umejiwekeza kwenye ubishi zaidi .....
Kila la kheri .................!!
Yesu ni Mungu sio madai kijana. Ila Allah ni Mungu ndio madai ambayo kamwe huto weza lete aya ambayo ALLAH anasema MIMI ALLAH NI MUNGU.Kwa hiyo tofauti na madai yenu kuwa Yesu ni "Mungu" unakiri kuwa Yesu ana Mungu anayemuomba msaada na anayemwabudu?
Sitegemei kuwa utajibu ,but surprise me! Kiongozi wa Ishmael.
Uungu wa Yesu sio madai bali yana ushahidi na upo kwenye bibliaKwa hiyo tofauti na madai yenu kuwa Yesu ni "Mungu" unakiri kuwa Yesu ana Mungu anayemuomba msaada na anayemwabudu?
Sitegemei kuwa utajibu ,but surprise me! Kiongozi wa Ishmael.
Uungu wa Yesu sio madai bali yana ushahidi na upo kwenye biblia
Najua inakuchanganya sana unapoona kuna mahali ambapo inamtaja Yesu kuwa Mungu,pengine anaonekana akiomba kwa Mungu,pengine akiitwa mwana wa Mungu,pengine mwana wa Daudi,pengine Simba wa kabila la Yuda,pengine mwana wa Yusuph n.k
Yote haya yanawezekana kabisa na unaweza ukaeleweshwa kama utahitaji kueleweshwa na sio kukaa kiubishi ubishi na kushindana
Hili ni somo zuri sana kwa wale ambao watataka kujua ukuu wa Mungu ulivyo na sio kutaka kusikia na kupinga tu bila kuwa na sababu za maana
Biblia inasema Yesu alikuwepo kabla ya vyote,alikuwepo tangu zamani zote,ndie alieumba kila kitu,ndie atakaehukumu kila mwenye mwili n.k
Ni vyema ukaanza kufikiri huyu mwanadamu ni wa aina gani asiwe na mwanzo halafu anaumba na kufanya yote hayo na zaidi?
Kama hukubaliani na biblia hilo ni tatizo lako lakini unapotaka kuitumia biblia hiyo hiyo kuthibitisha madai yako ni sawa na kusema kinywaji fulani ni sumu halafu hapo hapo unakinywa....
Je maneno haya ameyasema nani? Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.Yesu ni Mungu sio madai kijana. Ila Allah ni Mungu ndio madai ambayo kamwe huto weza lete aya ambayo ALLAH anasema MIMI ALLAH NI MUNGU.
Yesu ni Mungu sio madai kijana. Ila Allah ni Mungu ndio madai ambayo kamwe huto weza lete aya ambayo ALLAH anasema MIMI ALLAH NI MUNGU.