The art of war ni mkusanyiko Wa maandiko yanayosemekana kuwa ni strategies ambazo zilitumiwa Na Sun-tzu kuwashinda adui zake.
Msemo maarufu Wa sun- Tzu ulikua huu.
When you are far , you should make your enemy think you are very near.
When you are near ,u should make ur enemy think ur too far.
Zipo strategies nyingine nyingi sana ambazo Sun -tzu alizitumia Na zilimpa mafanikio makubwa.
Sasa wapinzan wengi wamekua watu wa ku expose strategy zao ,kesho wanasema wanaenda mahakaman,
Week ijayo wanasema watatoka bungeni.
Nawasema si Kwa ubaya ,Bali Kwa kuwarekebisha ,hizo mbinu zao zimekua butu sana ,no surprise attack of ideology.
Kila wanalolifanya limekuwa too predictable.
Lakin kwa upande Wa serikali ya JPM kuna utofauti kidogo, so far wamekua smart, wanawaingiza wapinzan kwenye mijadala ambayo wao wenyewe serikal wanataka ijadiliwe.
Mfano issue ya CAG ni agenda ambayo wapinzan wameivamia Bila kufikiria vizur ,inachukua attention yao Na perhaps inawatoa kwenye jambo kubwa zaidi walilopaswa kuzingatia(mswaada Wa vyama ).
Perfect game at a perfect time linachezwa Na serikal.
We have to issue credit to jpm Kwa hili.
Kwanza ana deliver Na pili anatumia strategies ngumu sana kuzi match up.
Najua wengine wanaweza kukosoa Kua jpm anadeliver nn?
Litakua ni kosa kubwa kupinga delivery ya JPM(miundo mbinu Na ukusanyaji kodi,na pia kuziba mianya ya kupiga ni),kwa Sasa wapinzan badala ya kulalamikia democracy sheding wangekua Na strategy Moja Na muhimu wanayo isimamia ambayo jpm Na serikal wangekua wanatumia muda mwingi kumatch up ,wangefaulu Kwa kiasi.
Lakin kwa Sasa back bone ya upinzan ni kama inadondoka ,najua kuna kumininywa Kwa uhuru Wa kujieleza hasa wapinzan lakin the issue is how u can convince the mass to join ur agenda hata kama serikal inawapush down.
Angalieni Democrats Marekan wanavyohangaishana Na Trump.
I know kuna wapinzan ambao wako very smart kama Zitto Na Mnyika lakin tatizo kubwa linalowapata ni kukosa strategy.
Haijulikan wao ni liberals au conservative,far right wing or far left wing.
Wapinzan tafuten agenda,jpm anawaonesha udhaifu wake pindi awapo Na nguvu , Na anawaonesha ana nguvu kipindi ambacho amepunhukiwa nguvu.
Jpm is very smart , Na kuna uwezekano wananchi wengi wakaimba nyimbo zake pasipo yeye kuwafundisha.