Chimps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 559
- 356
Nimejaribu kusoma hiki kitabu "The animal Farm" kwa mara ya kwanza sijakielewa kabisa. Ikabidi niangalie video yake inachukua saa 1, then nikarudia kusoma kitabu. Hapo ndo nikawa naelewa kila ninachokisoma.
Hiki kitabu ni kizuri sana, na kipo kisiasa zaidi. Ila nasikia kilizuiliwa kutumika katika mfumo wa elimu Tz kama literature book.
Sasa sababu ipi ilifanya kizuiliwe? Kwa sababu mimi nimeona kina mafunzo mengi kisiasa, kijamii, pia na kujenga uzalendo.
NI MTAZAMO WANGU TU