Atabase Agaya
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 120
- 41
Salaam wana JF!
Kichwa cha habari chajieleza.
Fomu hii haina tofauti sana na application forms tulizozoea kuona huku kwetu. Hapa ninamaanisha personal details za mwombaji.
Form hii inasadikika ilichukuliwa pamoja na rundo la documents nyingine zaidi ya 100 pale timu ya Navy Seal ya USA ilipofanya shambulizi mnamo siku ya Mei Mosi 2011 mjini Abbottabad nchini Pakistan na hatimaye kuuliwa kwa Osama Bin Laden.
Pitia hapa:
http://www.vox.com/2015/5/20/8630669/bin-laden-al-qaeda-application
http://www.dni.gov/index.php/resources/bin-laden-bookshelf?start=1
Ninajiuliza, Kama siyo propaganda za Marekani, kwanini docs hizi zitolewe (week hii) baada ya miaka minne (4) kupita tangu kifo cha Osama.
Marekani itaendelea kudanganya ulimwengu hadi lini?