The Agenda: Baba na Mwana

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Baba
.Mwana


Wote kwa pamoja


Picha zinaeleza mengi, dunia imekaa uchi kuwa makini na kizazi chako, mwanao anapenda anapenda kuwa kama nani.

Stars wa hollywood wanatumika katika agenda nyingi sana.

Wanaigiza maisha kucntrol mind za rima zote ,Wazee, vijana na watoto
 
Hiyo ni agenda ya secret society.. Kufanya dunia imsahau Mungu,na wao kuitawala kiurahisi ..
Wanaleta propaganda za ushoga,ngono na pombe ili tumsahau mungu..
Wanaleta magonjwa makubwa na kutafuta dawa wao wenyewe ili tuendelee kuwategea na kutupa msaada wa mashart

Wanapinga vikali na kuzusha vita kwa nchi zenye misimamo ya kidini ili wao waendelee kutawala kwa urahisi

Wanaona kua na mke zaidi ya mmoja ni haramu lakini mwaume kumuingilia mwanaume mwenzake wanasema ni haki za binadam na walindwe na sheria.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…