Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,062 Reaction score 168,726 Dec 11, 2012 #1
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,714 Dec 11, 2012 #2 Wanaume wetu hawa..??!.mmmh,labda awe ameishi nje ndo pengine anaweza akafanya shughuli hizo lakin hawa born hia hia,studied hia hia,and workin hia hia...very rare kwakweli..!!!
Wanaume wetu hawa..??!.mmmh,labda awe ameishi nje ndo pengine anaweza akafanya shughuli hizo lakin hawa born hia hia,studied hia hia,and workin hia hia...very rare kwakweli..!!!
Lateni JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 676 Reaction score 335 Dec 11, 2012 #3 Safi sana, wanawake tunakua proud sana na mwanaume mwenye ujasiri kama huu.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Dec 11, 2012 #4 Lateni said: Safi sana, wanawake tunakua proud sana na mwanaume mwenye ujasiri kama huu. Click to expand... Halafu ukute DNA siyo
Lateni said: Safi sana, wanawake tunakua proud sana na mwanaume mwenye ujasiri kama huu. Click to expand... Halafu ukute DNA siyo
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,062 Reaction score 168,726 Dec 11, 2012 Thread starter #5 Chapa Nalo Jr said: Halafu ukute DNA siyo Click to expand... Kudadadadeki patachimbika
Kobello JF-Expert Member Joined Feb 20, 2011 Posts 9,295 Reaction score 9,067 Dec 11, 2012 #6 Chapa Nalo Jr said: Halafu ukute DNA siyo Click to expand... Aiseee!
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Dec 11, 2012 #7 Bujibuji said: Kudadadadeki patachimbika Click to expand... Unaona sasa, yaani unahangaika na upendo kumbe wife pembeni anakusonya tu. Lakini acha tulee tu hamna jinsi..........
Bujibuji said: Kudadadadeki patachimbika Click to expand... Unaona sasa, yaani unahangaika na upendo kumbe wife pembeni anakusonya tu. Lakini acha tulee tu hamna jinsi..........
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,093 Dec 11, 2012 #8 Aiseeh, kumbe na midume inaolewaga. Wacha nibakie kuwa Mbusi
E enfuka nkulu Member Joined Dec 4, 2012 Posts 48 Reaction score 4 Dec 12, 2012 #9 ukifanya hayo mara mbili tatu, mwishowe yanakuwa majukumu yako ya kila siku JIANGALIE