The 5 Most Misdiagnosed Diseases

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Posts
870
Reaction score
170

SOURCE: The 5 Most Misdiagnosed Diseases (BMY, GSK, MRK, NAVB, PFE)
 
Ulaya wakisema kuna misdiagnosis sie sijui tusemeje. Kuna nil diagnosis.
 
Nimekusoma mkuu, hiyo meta-analysis ilifanyika zaidi first world, hapa kwetu mis diagnosis nyingi ni kwenye matatizo yetu ya tropical diseases hususani malaria na infections kibao. Point well taken magonjwa uliyoyanukuu they are on the rise kutokana na kubadilisha lifestyle yetu kwa kula vyakula vilivyo na calories nyingi wakati tunahitaji calories chache sana.
 

Hivi ni misdiagnosed au misdiagnosised?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…