Saa 11 AM ni Saa Tano Asubuhi. We utafukuzwa kazi.Jumatatu mpk ijumaa namka 11 am. Jumamosi na jumapili naingia kulala 11 am.
saa11 ni saa11 ila ukisha sema 11 AM umebadilisha maana tofautisha kingereza na kiswahiliSaa 11 AM ni Saa Tano Asubuhi. We utafukuzwa kazi.
Ohoo basi sawa.
haswaaSaa 11 asubuhi muda wa matizi
Mi nikajua ni klabu kama klabu ili nikija unipelekemo nikatoe ushamba mweh!!
Ukiamka asubuhi uwe una sign up kwenye huu uzi...Mi nikajua ni klabu kama klabu ili nikija unipelekemo nikatoe ushamba mweh!!
Maisha ni kuchakarika
club n kama umoja siyo club ukumbi wa stareheMi nikajua ni klabu kama klabu ili nikija unipelekemo nikatoe ushamba mweh!!
Maisha ni kuchakarika
Mshindi wa bonasi wetu wa leo😂😂😂😂
😂😂😂😂
Appreciation 🧧Yes indeed....
Appreciation 🧧
ushachelewaMapema sana nitakua nawamsha
Sawa loUkiamka asubuhi uwe una sign up kwenye huu uzi...
😂😂Sawa lo