The 5 Am club

The 5 Am club

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,565
Wanaowiwa na kuamka alfajiri! Hii ni club ya wanaotoka asubuhi kwenda kuchakarika na pia wanaoamka mapema kama sehemu ya kuweka mwili fiti (mazoezi) au kufanya siku iwe bora.

Kama we ni mpenzi wa harakati za asubuhi Usisahau kucomment muda unaoamka.

Winners: Wanaoamka kuanzia saa11 had 12 asubuhi (5AM -6AM)

BONUS: Mtu wa kwanza ku comments 5:00AM (HUYU ATAKUA ANAJIPATIA GB1 HALOTEL NA APPRECIATION)


Day1:
Hakuna member wa bonus
❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌

APPRECIATIATION 🙌🏽
maishapopote TAI DUME His Eminence Ushimen Kibunango Determinantor BICHWA KOMWE - jebs2002 nguvu


DAY2
Winners wanaoamka kuanzia 11-12 Asubuhi

BONUS: Stroke
1GB halotel (UNCLAIMED)


APpreciation:
Pythagoras Stroke Kibunango
 

Attachments

  • 7475ADC4-F018-4B25-866B-18A808AAD6F4.jpeg
    7475ADC4-F018-4B25-866B-18A808AAD6F4.jpeg
    886.4 KB · Views: 14
Muda wa kawaida sana kuamka bongo.
Kongole kina mama ntilie. Wao wanaamka saa saba usiku au asubuhi! Kwenda ferry, ununio, bagamoyo nk nk kununuwa samaki wa kuuza. Hawa ndio majabali na ma mwamba kwenye maisha.
Kufanya mazoezi saa 11 asubuhi siyo mbaya, ila wengine twaamka saa 12 na nusu asubuhi kufanya usafi, kumwagilia maua na bustani. Baadaye kwenda kutafuta senti....
 
Back
Top Bottom